CCM , IGP , Bashungwa msikilize Marehemu Magufuli halafu mjitafakari halafu mgeukie Gwajima muone kama ana kosa lolote

CCM , IGP , Bashungwa msikilize Marehemu Magufuli halafu mjitafakari halafu mgeukie Gwajima muone kama ana kosa lolote

MWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

Tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

Amina Tena Amina Amina Tena amina

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
 
Hizo hatua alizokuwa anahamasisha ni za kupotea watoto ingekuwa na maaza zaidi iwapo angesema hizo hatua zichukuliwe kwa upotevu wa watu kama kina azoli gwanda na kina Ben saa nane
 
Msikilize Magufuli, Rais Samia utakuwa umemuonea Gwajima kumbagaza kama ulivyofanya
Ukimsoma George Orwell katika 1984 ameongelea sana matumizi ya lugha katika udikteta, ameongelea kitu kinaitwa "doublespeak".

Magufuli ndiye alikuwa anapanga na kubariki utekaji wa kisiasa, hapo anapiga mkwala utpoteaji wa watu ambao si wa kisiasa.

Mawili haya ni tofauti.
 
Msikilize Magufuli, Rais Samia utakuwa umemuonea Gwajima kumbagaza kama ulivyofanya
Ajuza Samia, a.k.a Bibi wa Kizimkazi ni shetani muuaji na ndiyo asili yake!
 
Back
Top Bottom