assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,905
- 4,054
Niwasihi ndugu hatukatai mtoe hoja, hatukatai mseme yale mnayotaka kusema lakini semeni kwa uungwana, zungumzeni kwa busara, jengeni hoja."Kusema Rais ana akili za matope au kusema Rais ameuza bandari, wewe sema mkataba huu haujakaa vizuri
toa hoja kwa nini hauajakaa vizuri, upande wa pili watasema umekaa vizuri, lakini ukisema mkataba huu hata kichaa hawezi kuubali, maana nyingine unatuambia sisi sote ni vichaaa.
Wapinzani jengeni hoja acheni kejeli kwa Rais, lugha za matusi, kejeli na dharau dhidi kiongozi wa nchi zinapaswa kuepukwa ili kutoa fursa ya kuendeleza maridhiano na kuijenga Tanzania kwa pamoja"
"Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara ndugu Abdulrahman Kinana akiwa Tabora
Sisi wananchi tunawaomba Mjitoe kama wenzenu hawataki