CCM ijitoe kwenye Maridhiano kama matusi yataendelea kwa Rais Samia

Niwasihi ndugu hatukatai mtoe hoja, hatukatai mseme yale mnayotaka kusema lakini semeni kwa uungwana, zungumzeni kwa busara, jengeni hoja."Kusema Rais ana akili za matope au kusema Rais ameuza bandari, wewe sema mkataba huu haujakaa vizuri

toa hoja kwa nini hauajakaa vizuri, upande wa pili watasema umekaa vizuri, lakini ukisema mkataba huu hata kichaa hawezi kuubali, maana nyingine unatuambia sisi sote ni vichaaa.

Wapinzani jengeni hoja acheni kejeli kwa Rais, lugha za matusi, kejeli na dharau dhidi kiongozi wa nchi zinapaswa kuepukwa ili kutoa fursa ya kuendeleza maridhiano na kuijenga Tanzania kwa pamoja"

"Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara ndugu Abdulrahman Kinana akiwa Tabora

Sisi wananchi tunawaomba Mjitoe kama wenzenu hawataki
Kumbe lengo lilikuwa wakubaliwe kuiba, haitatokea wezi wakubwa mmezoea. Achani hayo maridhiano na 2025 mkalee wajukuu zenu ili nchi iendeshwe na akili kubwa.
 
Niwasihi ndugu hatukatai mtoe hoja, hatukatai mseme yale mnayotaka kusema lakini semeni kwa uungwana, zungumzeni kwa busara, jengeni hoja."Kusema Rais ana akili za matope au kusema Rais ameuza bandari, wewe sema mkataba huu haujakaa vizuri

toa hoja kwa nini hauajakaa vizuri, upande wa pili watasema umekaa vizuri, lakini ukisema mkataba huu hata kichaa hawezi kuubali, maana nyingine unatuambia sisi sote ni vichaaa.

Wapinzani jengeni hoja acheni kejeli kwa Rais, lugha za matusi, kejeli na dharau dhidi kiongozi wa nchi zinapaswa kuepukwa ili kutoa fursa ya kuendeleza maridhiano na kuijenga Tanzania kwa pamoja"

"Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara ndugu Abdulrahman Kinana akiwa Tabora

Sisi wananchi tunawaomba Mjitoe kama wenzenu hawataki
Sio kujitoa ktk maridhiano bali ccm hamieni kwa warabu huko matahira wakubwa ninyi.
Hatuwezi kukaa pamoja na wasaliti ninyi mlio uza utu wetu kwa uroho wa fedha.
 
Mbona hamkusema JPM alitukana aliposema "Ni kichaa tu anaweza kukubali ule mkataba wa Babamoyo" sasa ule ulikuwa wa Bagamoyo ambao ulikuwa na nafuu, je huu wetu wa milele je angekuwa neno gani ndugu msomaji?
Kweli
 
Niwasihi ndugu hatukatai mtoe hoja, hatukatai mseme yale mnayotaka kusema lakini semeni kwa uungwana, zungumzeni kwa busara, jengeni hoja."Kusema Rais ana akili za matope au kusema Rais ameuza bandari, wewe sema mkataba huu haujakaa vizuri

toa hoja kwa nini hauajakaa vizuri, upande wa pili watasema umekaa vizuri, lakini ukisema mkataba huu hata kichaa hawezi kuubali, maana nyingine unatuambia sisi sote ni vichaaa.

Wapinzani jengeni hoja acheni kejeli kwa Rais, lugha za matusi, kejeli na dharau dhidi kiongozi wa nchi zinapaswa kuepukwa ili kutoa fursa ya kuendeleza maridhiano na kuijenga Tanzania kwa pamoja"

"Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara ndugu Abdulrahman Kinana akiwa Tabora

Sisi wananchi tunawaomba Mjitoe kama wenzenu hawataki
Maridhiano na nani maana nikama inastage mambo yasiyoeleweka
 
Back
Top Bottom