CCM ijitoe kwenye Maridhiano kama matusi yataendelea kwa Rais Samia

kumbuka Kuna KESI ya ugaidi ilikua haijaisha
Hiyo kamtishie nayo fala. Kwahiyo ile kesi mliifrem hivyo kwenye hizi mahakama za mchongo ili kuziba watu midomo? Sio bure hata wawekezaji hawataki kutumia hizi mahakama zetu za kipuuzi kwenye migogoro, maana wanajua ni upuuzi mtupu.
 
Nikisema niuzie kofia yako ni tusi! Mkibanwa hamkawii kuomba ruhusa kwenda msalani.
 
Ni kichaa pekee anayeweza kukubali mkataba wa kijinga namna hiyo kati ya dp world na dar port.yaani mwekezaji akupangie kwamba akitaka kuja mwekezaji lazima umtaarifu yeye kama nan? Si ndiyo ukichaa wenyewe huo?mkataba haueleziutaisha lini, tutapata nini na wao watapata kiasi gani.Ni ujinga mtupu na waliosaini wajinga wajinga tu
 
Sindano imegonga mfupa hapo, SAWA SAWA kabisa, Lissu ongezaaa shikilia hapo hapo majizi haya
 
Ni kichaa pekee anayeweza kukubali mkataba wa kijinga namna hiyo kati ya dp world na dar port.yaani mwekezaji akupangie kwamba akitaka kuja nwekezaji lazima umtaarifu yeye kama nan? Si ndiyo ukichaa wenyewe huo?
Tena kichaa ana afadhali aiseee, huyu atayekubali huu mkataba ni TEJA
 


Demokrasia ni kusema lolote na chochote ilimradi uko ndani ya sheria. Kama ni matusi nasi kuna mahakama na kama yunavyojua ambayo mengi wanaita matusi sio matusi kisheria! Ndiyo maana ya mahakama. Kama kitu kinaruhusiwa kisheria ni nani wa kusema hili ni tusi na hili sio tusi. Wajitoe itokee fujo nani atanufaika? Mama

Jibuni hoja. Pili URaisi ni taasisi sio mtu na anasemwa kwasababu ya cheo asingekuwa na cheo hakuna mtu ange muongelea
 
Mimi siyo mwanachama wa chama cho chote! Lakini hata mimi napinga siasa zisizo na staha! Rais anabaki kuwa ni Rais lazima aheshimiwe.
 
Rushwa inanguvu sana, hupofusha macho na kuzibisha masikio ya wanufaika.
 
Hiyo kamtishie nayo fala. Kwahiyo ile kesi mliifrem hivyo kwenye hizi mahakama za mchongo ili kuziba watu midomo? Sio bure hata wawekezaji hawataki kutumia hizi mahakama zetu za kipuuzi kwenye migogoro, maana wanajua ni upuuzi mtupu.
Punguza hasira Kamanda mwenzangu
 
Sijajua wanabembeleza hao Machadema Kwa lipi?
 
toa hoja kwa nini hauajakaa vizuri, upande wa pili watasema umekaa vizuri, lakini ukisema mkataba huu hata kichaa hawezi kuubali, maana nyingine unatuambia sisi sote ni vichaaa.

Hayo maneno tumeazima kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM aliyekuwepo, Bwana John Pombe Magufuli

Yeye ndio alisema ukikubali mwekezaji aendeshe bandari tena bila ukomo utakuwa mwendawazimu

John Pombe Magufuli lives in the pantheon of the most respected and transformative leaders of the CCM party and the country at large, many observers of post-modern Tanzanian history agree.

Tunakumbushia tu maneno ya John Pombe Magufuli kuhusu uwekezaji.
 
Mbona mnasema matusi ila hamtaki yataja matusi husika, acheni upumbavu
 
Mleta mada usione kuwa ccm ndio yenye hati miliki ya nchi hii!
Kumbuka hata CDM inaweza kujitoa ktk maridhiano kama CCM haitaki kuacha matendo yake!
Ni vyema uwaze vyema kabla ya kuandika! tumia kichwa kifikiri usitumie........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…