Leo naomba nipingane na weweAnguko la CCM, iwapo litatokea kama dalili zinavyoonyesha, litakuwa na serious far-reaching repercussions, mojawapo itakuwa ni kuathirika kwa watu wote ambao kwa namna moja au nyingine, walijitoa kutetea au kuipiga kampeni CCM iwe kwa malipo au vinginevyo.
Kwa msingi huo, Diamond ni mmoja wa watu /wasanii ambao anguko la CCM halitomuacha salama na zile picha alizopigwa akiwa na Magu hata yeye mwenye hatotamani kuziona tena ila ndio zitatumika kumsuta kama sio kumponda na yote haya yatachingia katika kutia doa umaarufu wake na pia itatoa funzo kwa wasanii kuacha kutumika kisiasa katika siku zijazo
Nimejikuta hata huyu kindle boy wa kwetu namchukiaAnguko la CCM, iwapo litatokea kama dalili zinavyoonyesha, litakuwa na serious far-reaching repercussions, mojawapo itakuwa ni kuathirika kwa watu wote ambao kwa namna moja au nyingine, walijitoa kutetea au kuipiga kampeni CCM iwe kwa malipo au vinginevyo.
Kwa msingi huo, Diamond ni mmoja wa watu /wasanii ambao anguko la CCM halitomuacha salama na zile picha alizopigwa akiwa na Magu hata yeye mwenye hatotamani kuziona tena ila ndio zitatumika kumsuta kama sio kumponda na yote haya yatachingia katika kutia doa umaarufu wake na pia itatoa funzo kwa wasanii kuacha kutumika kisiasa katika siku zijazo
Ila salary slip huwaunaota wakati mwingine!!!!!!!Anguko la CCM, iwapo litatokea kama dalili zinavyoonyesha, litakuwa na serious far-reaching repercussions, mojawapo itakuwa ni kuathirika kwa watu wote ambao kwa namna moja au nyingine, walijitoa kutetea au kuipiga kampeni CCM iwe kwa malipo au vinginevyo.
Kwa msingi huo, Diamond ni mmoja wa watu /wasanii ambao anguko la CCM halitomuacha salama na zile picha alizopigwa akiwa na Magu hata yeye mwenye hatotamani kuziona tena ila ndio zitatumika kumsuta kama sio kumponda na yote haya yatachingia katika kutia doa umaarufu wake na pia itatoa funzo kwa wasanii kuacha kutumika kisiasa katika siku zijazo
Subiri uone kwenye tuzo za BET.Ndoto huwa tamu mno tatizo ni hubaki ndoto!
Ninahakika mpaka sasa Diamond anajuta kutumika kisiasa.Mataga wa madale wataambia nini watu ?
Da huu ndio usomi sio WA kwenye vyeti. Vote for Burna Boy.Hata Ccm isipoanguka hawa wasanii hali yao ni mbaya
Watatengwa na jamii
Siku hizi watanzania mmekua na akili za kushikiwa mfano kipind Cha mange mlikua kwa mange saivi kigogo mpo kwa kigogoAnguko la CCM, iwapo litatokea kama dalili zinavyoonyesha, litakuwa na serious far-reaching repercussions, mojawapo itakuwa ni kuathirika kwa watu wote ambao kwa namna moja au nyingine, walijitoa kutetea au kuipiga kampeni CCM iwe kwa malipo au vinginevyo.
Kwa msingi huo, Diamond ni mmoja wa watu /wasanii ambao anguko la CCM halitomuacha salama na zile picha alizopigwa akiwa na Magu hata yeye mwenye hatotamani kuziona tena ila ndio zitatumika kumsuta kama sio kumponda na yote haya yatachingia katika kutia doa umaarufu wake na pia itatoa funzo kwa wasanii kuacha kutumika kisiasa katika siku zijazo
Ahahaaah!Subiri uone kwenye tuzo za BET.