CCM ikianguka, Diamond naye lazima umaarufu wake utaathirika kwa kushuka au kuingia doa humu nchini

Unatia aibu kuongelea mambo ya Nchi halafu eti unamuweka Diamond!

Huyo ni msanii tu na yeye atajitahidi kutembea na fursa itakayokuwepo ili apambane abaki kwenye chati.

Sasa kuhusisha mambo ya kitaifa na msanii kuendelea kukubalika au kufubaa....ni jambo la aibu sana.

Ndio maana tunasema CHADEMA bado sana aisee.
 
Anguko la CCM, iwapo litatokea kama dalili zinavyoonyesha, litakuwa na serious far-reaching repercussions, mojawapo itakuwa ni kuathirika kwa watu wote ambao kwa namna moja au nyingine, walijitoa kutetea au kuipiga kampeni CCM iwe kwa malipo au vinginevyo.

Kwa msingi huo, Diamond ni mmoja wa watu /wasanii ambao anguko la CCM halitomuacha salama na zile picha alizopigwa akiwa na Magu hata yeye mwenye hatotamani kuziona tena ila ndio zitatumika kumsuta kama sio kumponda na yote haya yatachingia katika kutia doa umaarufu wake na pia itatoa funzo kwa wasanii kuacha kutumika kisiasa katika siku zijazo
Leo naomba nipingane na wewe

Tundu Antiphas Lissu ameshasema hatokuwa Raisi wa visasi, ameshasema ataweka tume ya maridhiano, ameshasema pia atakuwa raisi wa uhuru, haki na maendeleo ya watu!

Uraisi wa Lissu utastawisha maendeleo ya watu, wenye maendeleo mazuri wataendelea kuwa na maendeleo mazuri na kufanya shughuli zao, wasio na maendeleo mazuri nao watafanya shughuli zao bila shida yeyote.

Kama una chuki na Diamond mzee kamalizane nae binafsi tu ila usitegemee Tundu Antiphas Lissu nae atakuwa na ufedhuli na visasi Kama Magufuli .
 
Japo am domo hater ila kwa hili nakupa pole mleta mada. Ni miaka karibia 5 sasa domo akicheza kwenye kampen za ccm na hajadondoka kama marlaw mnayemtolea mfano kila kukicha
 
Anguko la CCM, iwapo litatokea kama dalili zinavyoonyesha, litakuwa na serious far-reaching repercussions, mojawapo itakuwa ni kuathirika kwa watu wote ambao kwa namna moja au nyingine, walijitoa kutetea au kuipiga kampeni CCM iwe kwa malipo au vinginevyo.

Kwa msingi huo, Diamond ni mmoja wa watu /wasanii ambao anguko la CCM halitomuacha salama na zile picha alizopigwa akiwa na Magu hata yeye mwenye hatotamani kuziona tena ila ndio zitatumika kumsuta kama sio kumponda na yote haya yatachingia katika kutia doa umaarufu wake na pia itatoa funzo kwa wasanii kuacha kutumika kisiasa katika siku zijazo
Nimejikuta hata huyu kindle boy wa kwetu namchukia
 
Ila salary slip huwaunaota wakati mwingine!!!!!!!
 
Siku hizi watanzania mmekua na akili za kushikiwa mfano kipind Cha mange mlikua kwa mange saivi kigogo mpo kwa kigogo
Atakachosema kigogo ndo mnakiunga mkono kuweni na msimamo. Kigogo sasahivi anaelekea kua mange kimya na atapata pigo. Wana chadema msiwe na akili za kushikiwa mbona hamumchukii dulla makabila nae anafanya kampeni za CCM.
 
Subiri uone kwenye tuzo za BET.
Ahahaaah!
Kwahiyo chief akili yako inakutuma kuwa Diamond akikosa tuzo ya BET mbele ya Burna Boy na Wizkid basi hilo ni anguko lake?
Pia kwa akili yako unafikiri Diamond kukosa hii tuzo ni matokeo ya kelele za wanaCHADEMA mtandaoni?
 
Back
Top Bottom