Unatia aibu kuongelea mambo ya Nchi halafu eti unamuweka Diamond!
Huyo ni msanii tu na yeye atajitahidi kutembea na fursa itakayokuwepo ili apambane abaki kwenye chati.
Sasa kuhusisha mambo ya kitaifa na msanii kuendelea kukubalika au kufubaa....ni jambo la aibu sana.
Ndio maana tunasema CHADEMA bado sana aisee.