Uchaguzi 2020 CCM ikianguka, kitachofuata ni Magufuli na timu yake kutakiwa kujiuzulu nafasi zao ndani ya CCM

Hata Lissu mlisema hatoweza kurudi nchini.
Nani alisema hatarudi? Sisi tulijua mapema tu lini atarudi na kwa sababu gani na nia yake inajulikana lakini mpaka sasa ameshapigwa bao 3 kwa 0. Subiri uone baada ya uchaguzi ndiyo utajua TZ kwa intel ni mwisho wa maneno....!!
 
Tuliwaambia ccm katiba yao ndio kitanzi kwao haya mambo ya mwenyekiti kuwa na nguvu kuliko chama ndio yamewagharimu tuliwaambia watenganishe kofia mbili ili waweze wajibishana yaani ukikosea ukiwa raisi unafutwa uanachama Kama ili ANC ili kulinda maadili ya chama, awakusikia, huwa wanaelewa wakiwa nje ya madaraka.
Badala ya ccm kujiwekeza kwa wananchi eti wanajipendekeza kwenye dola then dola yenyewe wamewanyima mishahara 5 yrs nao hapo patamu aisee.
we nae umengangana kikao kikao utafikir ulikwenda huko dodoma kusikiliza.Kama wanaelekezwa jinsi ya kukamilisha miradi iliyo katika hatua mbalimbali za utekelezaji?
 
Kuna watu ukiwaambia habari au uwezekano wa CCM kutoka madarakani, wanakuona unaongea jambo ambalo haliwezi kutokea na hata kukushangaa.

Tunachosau wanadamu wengi ni kuwa,katika huu ulimwengu ambao umekuwepo kwa mamilioni ya miaka, hakuna kinachotokea leo hii ambacho ni kipya, bali yote ni marudio tu na ndio maana mtu ukiwa muumini mzuri wa historia, watu wanaweza kukuona wewe kamaa Nabii au mtu mwenye maono wanasahau kuwa katika dunia ya leo hakuna jipya zaidi ya teknolojia.

CCM hakitakuwa chama cha kwanza kaanguka baada ya kuwepo madarakani kwa muda mrefu kama ambavyo ikitokea kwa vyama vingine duniani na pia Magufuli hatokuwa mtawala wa kwanza asietarajiwa kuanguka kutoka madarakani ila mwisho wa Siku akaanguka kama ilivyotokea kwa watawala wengine tangu kuomba kwa ulimwengu huu.

Eleweni tu hata dini ni historia katika imani na kwasababu historia hii inazingatiwa zaidi kiimani, ndio maana leo hii mnaona watu wanatumia mistari ya Bibilia(Maandiko Matakatifu) kutabiri anguko la Magufuli na ushindi wa Lissu.

Kwa msingi huu,Magufuli na CCM yake wanaweza kuanguka mara baada ya uchaguzi au kutokana na yatayojiri baada ya matokeo kutangazwa.

Ikitokea Magufuli anashindwa uchaguzi na Lissu akasimamia kauli yake na Magufuli akaondoka madarakani kwa amani au vinginevyo, kitachofuata ni wana-CCM kutaka Magufuli na timu yake kujiuzulu uongozi wa chama kama sehemu ya wao kuwajibika kisiasa.

Hivyo,Magufuli,iwapo atashindwa uchaguzi,si tu atapoteza nafasi ya kuwa Raisi,bali ana hatari ya kupoteza na nafasi ya kuwa kiongozi mkuu wa chama(uenyekiti) na kuwa raia wa kawaida mwenye hadhi ya Raisi aleshindwa kutetea nafasi yake kwa mara ya pili.

Time will tell.
Tutawatahiri upya kwa chupa
 
CCM haitaanguka

Jiwe Jana na leo walikuwa na kikao na Wakurugenzi nchi Nzima..lengo Ni kuiba Kura na kuhujumu uchaguzi.

Ndio maana hakufuata ratiba ya Kampeni Iringa
Robert Asmsterdam na Fatou Bensuda watatusaidia kuondoa upuuzi huu
 
Wewe ndo una matatizo ya akili. Mleta mada yuko sawa kabisa!!
Haya hebu angalia hii hapa nyomi!! Unawezalingalisha na vikundi vya Lissu?
 
Kuna watu ukiwaambia habari au uwezekano wa CCM kutoka madarakani, wanakuona unaongea jambo ambalo haliwezi kutokea na hata kukushangaa.

Tunachosau wanadamu wengi ni kuwa,katika huu ulimwengu ambao umekuwepo kwa mamilioni ya miaka, hakuna kinachotokea leo hii ambacho ni kipya, bali yote ni marudio tu na ndio maana mtu ukiwa muumini mzuri wa historia, watu wanaweza kukuona wewe kamaa Nabii au mtu mwenye maono wanasahau kuwa katika dunia ya leo hakuna jipya zaidi ya teknolojia.

CCM hakitakuwa chama cha kwanza kaanguka baada ya kuwepo madarakani kwa muda mrefu kama ambavyo ikitokea kwa vyama vingine duniani na pia Magufuli hatokuwa mtawala wa kwanza asietarajiwa kuanguka kutoka madarakani ila mwisho wa Siku akaanguka kama ilivyotokea kwa watawala wengine tangu kuomba kwa ulimwengu huu.

Eleweni tu hata dini ni historia katika imani na kwasababu historia hii inazingatiwa zaidi kiimani, ndio maana leo hii mnaona watu wanatumia mistari ya Bibilia(Maandiko Matakatifu) kutabiri anguko la Magufuli na ushindi wa Lissu.

Kwa msingi huu,Magufuli na CCM yake wanaweza kuanguka mara baada ya uchaguzi au kutokana na yatayojiri baada ya matokeo kutangazwa.

Ikitokea Magufuli anashindwa uchaguzi na Lissu akasimamia kauli yake na Magufuli akaondoka madarakani kwa amani au vinginevyo, kitachofuata ni wana-CCM kutaka Magufuli na timu yake kujiuzulu uongozi wa chama kama sehemu ya wao kuwajibika kisiasa.

Hivyo,Magufuli,iwapo atashindwa uchaguzi,si tu atapoteza nafasi ya kuwa Raisi,bali ana hatari ya kupoteza na nafasi ya kuwa kiongozi mkuu wa chama(uenyekiti) na kuwa raia wa kawaida mwenye hadhi ya Raisi aleshindwa kutetea nafasi yake kwa mara ya pili.

Time will tell.
Magu akikosa urais atarudi kwao,hawezi endelea kukaa nchi hii,mark my word
 
Magu akikosa urais atarudi kwao,hawezi amaendelea kukaa nchi hii,mark my word
Kwao wapi? Huyo ni ngosha na sisi akina ngosha huwa hatutishwi na mtu kwa taarifa yako!
 
Kwa akili hizi CCM itatawala zaidi ya karne ijayo
Kuna watu ukiwaambia habari au uwezekano wa CCM kutoka madarakani, wanakuona unaongea jambo ambalo haliwezi kutokea na hata kukushangaa.

Tunachosau wanadamu wengi ni kuwa,katika huu ulimwengu ambao umekuwepo kwa mamilioni ya miaka, hakuna kinachotokea leo hii ambacho ni kipya, bali yote ni marudio tu na ndio maana mtu ukiwa muumini mzuri wa historia, watu wanaweza kukuona wewe kamaa Nabii au mtu mwenye maono wanasahau kuwa katika dunia ya leo hakuna jipya zaidi ya teknolojia.

CCM hakitakuwa chama cha kwanza kaanguka baada ya kuwepo madarakani kwa muda mrefu kama ambavyo ikitokea kwa vyama vingine duniani na pia Magufuli hatokuwa mtawala wa kwanza asietarajiwa kuanguka kutoka madarakani ila mwisho wa Siku akaanguka kama ilivyotokea kwa watawala wengine tangu kuomba kwa ulimwengu huu.

Eleweni tu hata dini ni historia katika imani na kwasababu historia hii inazingatiwa zaidi kiimani, ndio maana leo hii mnaona watu wanatumia mistari ya Bibilia(Maandiko Matakatifu) kutabiri anguko la Magufuli na ushindi wa Lissu.

Kwa msingi huu,Magufuli na CCM yake wanaweza kuanguka mara baada ya uchaguzi au kutokana na yatayojiri baada ya matokeo kutangazwa.

Ikitokea Magufuli anashindwa uchaguzi na Lissu akasimamia kauli yake na Magufuli akaondoka madarakani kwa amani au vinginevyo, kitachofuata ni wana-CCM kutaka Magufuli na timu yake kujiuzulu uongozi wa chama kama sehemu ya wao kuwajibika kisiasa.

Hivyo,Magufuli,iwapo atashindwa uchaguzi,si tu atapoteza nafasi ya kuwa Raisi,bali ana hatari ya kupoteza na nafasi ya kuwa kiongozi mkuu wa chama(uenyekiti) na kuwa raia wa kawaida mwenye hadhi ya Raisi aleshindwa kutetea nafasi yake kwa mara ya pili.

Time will tell.
 
Hivi kweli unaona Chadema inaweza kushinda uchaguzi 2020!!?? Utakuwa una matatizo kwenye akili yako si bure!
Hata wakati mlipo mchapa mkasema hanyanyuki tena
 
Back
Top Bottom