Angalia hapa chini! Au hawa siyo watz?Wewe unampenda sio watanzania wote kwa kipi kumfanya apendwe?sema wewe sio watanzania,wasingemzomea bukoba,umeona musoma mjini?hakuna kondeboy Wala Domo kaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia hapa chini! Au hawa siyo watz?Wewe unampenda sio watanzania wote kwa kipi kumfanya apendwe?sema wewe sio watanzania,wasingemzomea bukoba,umeona musoma mjini?hakuna kondeboy Wala Domo kaya.
Wasukuma wana nyota gani kama sio kugubikwa na ukabila!Nasema hivi sio msukuma bali analazimisha kutembelea nyota ya wasukuma. Imeisha hiyo.
mimi hapo zamani nilikua namkubali lisu.ila kwa sasa haelewel elewek.Anasema anatoa kodi.hivi kwa akilonya kawaida nchi gani hailipi tax payer.marekan lwenyewe ni tax mpaka lwekena lwake.
vyama tawala vemeji reform na kuweka sera na mikakati usifikiri wewe peke yako ndio una uwezo wa kufikiria
Haya mchagulie kabila unalotaka wewe basi.Nasema hivi sio msukuma bali analazimisha kutembelea nyota ya wasukuma. Imeisha hiyo.
Wasukuma wana nyota gani kama sio kugubikwa na ukabila!
Haya mchagulie kabila unalotaka wewe basi.
Hao profesaional hitmen wanaowafundisha kutunga props za uongo waambieni Tanzania ni zaidi ya waijuavyo.Kuna watu ukiwaambia habari au uwezekano wa CCM kutoka madarakani, wanakuona unaongea jambo ambalo haliwezi kutokea hivi karibuni na hata kukushangaa (wamekariri).
Tunachosau wanadamu wengi ni kuwa,katika huu ulimwengu ambao umekuwepo kwa mamilioni ya miaka, hakuna kinachotokea leo hii ambacho ni kipya, bali yote ni marudio tu na ndio maana mtu ukiwa muumini mzuri wa historia, watu wanaweza kukuona wewe kamaa Nabii au mtu mwenye maono wanasahau kuwa katika dunia ya leo hakuna jipya zaidi ya teknolojia.
CCM hakitakuwa chama cha kwanza kaanguka baada ya kuwepo madarakani kwa muda mrefu kama ambavyo ikitokea kwa vyama vingine duniani na pia Magufuli hatokuwa mtawala wa kwanza asietarajiwa kuanguka kutoka madarakani ila mwisho wa Siku akaanguka kama ilivyotokea kwa watawala wengine tangu kuomba kwa ulimwengu huu.
Eleweni tu hata dini ni historia katika imani na kwasababu historia(imani) hii inazingatiwa zaidi, ndio maana leo hii mnaona watu wanatumia mistari ya Bibilia(Maandiko Matakatifu) kutabiri anguko la Magufuli na ushindi wa Lissu.
Kwa msingi huu,Magufuli na CCM yake wanaweza kuanguka mara baada ya uchaguzi au kutokana na yatayojiri baada ya matokeo kutangazwa.
Ikitokea Magufuli anashindwa uchaguzi na Lissu akasimamia kauli yake na Magufuli akaondoka madarakani kwa amani au vinginevyo, kitachofuata ni wana-CCM kutaka Magufuli na timu yake kujiuzulu uongozi wa chama kama sehemu ya wao kuwajibika kisiasa.
Hivyo,Magufuli,iwapo atashindwa uchaguzi,si tu atapoteza nafasi ya kuwa Raisi,bali ana hatari ya kupoteza na nafasi ya kuwa kiongozi mkuu wa chama(uenyekiti) na kuwa raia wa kawaida mwenye hadhi ya Raisi aleshindwa kutetea nafasi yake kwa mara ya pili.
Time will tell.
Asingejinasibisha na usukuma kama hawana nyota yoyote. Anajua fika wasukuma ni kabila lenye watu wengi, hivyo akaiigiza yeye ni msukuma atapata kura zao. Tumemuona na kumsikia akiongea kisukuma kwenye kampeni hizi, mbona hajaongea kizinza kama sio anatembelea nyota ya wasukuma?
Mbona huwa anaongea lugha nyingi tu hata kimasai, kigogo, kihehe, kichaga nk wacha ukabila ni sumu. Utamfahamu ndege kwa kuruka kwake, vipi mlevi wa Konyagi amepona?
Wajaribu waone. Wakijaribu kufanya hivyo, hiyo tarehe ya jana wataikumbuka maisha yao yote, kama watakuwepo.Hachomoki aisee
Jana na leo walikuwa na kikao Na Wakurugenzi nchi Nzima Dodoma...lengo Ni kuiba Kura na kuhujumu uchaguzi
Wasukuma wenyewe hawamtaki hukuAsingejinasibisha na usukuma kama hawana nyota yoyote. Anajua fika wasukuma ni kabila lenye watu wengi, hivyo akaiigiza yeye ni msukuma atapata kura zao. Tumemuona na kumsikia akiongea kisukuma kwenye kampeni hizi, mbona hajaongea kizinza kama sio anatembelea nyota ya wasukuma?
Wajaribu waone. Wakijaribu kufanya hivyo, hiyo tarehe ya jana wataikumbuka maisha yao yote, kama watakuwepo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisikia na maneno mengine wakisema jina lake litakatwa NEC. Mpaka hapo ni ushindi kwa Lisu maana amebaki yeye peke yake anayemchallenge Rais, kibaya zaidi akiendelea na ile kauli yake ya kwamba akishinda asitangazwe hatamwachia Mungu, ni kauli inayofikirisha sana maana kwa spirit ninayoiona mtaani kwa vijana akisema watu waingie barabarani hakika patawaka moto.NEC wasimame na haki tu .Hata Lissu mlisema hatoweza kurudi nchini.
Time will tell.Kuna watu ukiwaambia habari au uwezekano wa CCM kutoka madarakani, wanakuona unaongea jambo ambalo haliwezi kutokea leo wala kesho na zaidi wataishia kukushangaa tu na hii ni kwasababu wamekariri.
Tunachosau wanadamu wengi ni kuwa,katika huu ulimwengu ambao umekuwepo kwa mamilioni ya miaka, hakuna kinachotokea leo hii ambacho ni kipya, bali yote ni marudio tu na ndio maana mtu ukiwa muumini mzuri wa historia, watu wanaweza kukuona wewe kamaa Nabii au mtu mwenye maono wanasahau kuwa katika dunia ya leo, hakuna jipya zaidi ya teknolojia.
CCM hakitakuwa chama cha kwanza kaanguka baada ya kuwepo madarakani kwa muda mrefu kama ambavyo imetokea kwa vyama vingine duniani, na pia Magufuli hatokuwa mtawala wa kwanza asietarajiwa kuanguka kutoka madarakani, ila mwisho wa siku akaanguka kama ilivyotokea kwa watawala wengine tangu kuombwa kwa ulimwengu huu.
Eleweni tu hata dini ni historia katika imani na kwasababu historia(imani) hii inazingatiwa zaidi, ndio maana leo hii mnaona watu wanatumia mistari ya Bibilia(Maandiko Matakatifu) kutabiri anguko la Magufuli na ushindi wa Lissu.
Kwa msingi huu,Magufuli na CCM yake wanaweza kuanguka mara baada ya uchaguzi au kutokana na yatayojiri baada ya matokeo kutangazwa.
Kwahiyo, ikitokea Magufuli anashindwa uchaguzi, na Lissu akasimamia kauli yake na Magufuli akaondoka madarakani kwa amani au vinginevyo, kitachofuata ni wana-CCM kutaka Magufuli na timu yake kujiuzulu uongozi wa chama kama sehemu ya wao kuwajibika kisiasa-utabiri.
Hivyo,Magufuli,iwapo atashindwa uchaguzi, si tu atapoteza nafasi ya kuwa Raisi,bali ana hatari ya kupoteza na nafasi ya kuwa kiongozi mkuu wa chama(uenyekiti) na kuwa raia wa kawaida mwenye hadhi ya Raisi aleshindwa kutetea nafasi yake kwa mara ya pili.
Time will tell.
Hapo ndio tatizo lilianziaTuliwaambia ccm mgombea wao hauziki hawakusikia wakaprint fomu moja pekee
Kama hili limeshajulikana basi hakuna siri tenaCCM haitaanguka
Jiwe Jana na leo walikuwa na kikao na Wakurugenzi nchi Nzima..lengo Ni kuiba Kura na kuhujumu uchaguzi.
Ndio maana hakufuata ratiba ya Kampeni Iringa
Wewe kajamaa bado nakumbuka ahadi yako Lissu akipigwa chini .Wewe ndo una matatizo ya akili. Mleta mada yuko sawa kabisa!!