Uchaguzi 2020 CCM ikianguka, kitachofuata ni Magufuli na timu yake kutakiwa kujiuzulu nafasi zao ndani ya CCM

Uchaguzi 2020 CCM ikianguka, kitachofuata ni Magufuli na timu yake kutakiwa kujiuzulu nafasi zao ndani ya CCM

Utopolo
mimi hapo zamani nilikua namkubali lisu.ila kwa sasa haelewel elewek.Anasema anatoa kodi.hivi kwa akilonya kawaida nchi gani hailipi tax payer.marekan lwenyewe ni tax mpaka lwekena lwake.
vyama tawala vemeji reform na kuweka sera na mikakati usifikiri wewe peke yako ndio una uwezo wa kufikiria
 
Hahaha....hongera kwa kujaribu kuwaza ila huyo mgombea wenui hana jipya zaid ya kueneza majungu badala ya kutoa Sera zenye mashiko na aeleze aliyoyafanya wakati ni mbunge aweze kushawishi umma.
 
CCM haitaanguka

Jiwe Jana na leo walikuwa na kikao na Wakurugenzi nchi Nzima..lengo Ni kuiba Kura na kuhujumu uchaguzi.

Ndio maana hakufuata ratiba ya Kampeni Iringa
Hicho nacho ni kigezo cha anguko. Kwamba hatapata na kushinda kwa kura halali. Ndio anaenda kujitengenezea janga lingine. Atakiona cha moto kwasababu ataenda kuwasha moto. Hakuna mtawala aliyeshupaza shingo akapona.
 
CCM haitaanguka

Jiwe Jana na leo walikuwa na kikao na Wakurugenzi nchi Nzima..lengo Ni kuiba Kura na kuhujumu uchaguzi.

Ndio maana hakufuata ratiba ya Kampeni Iringa
Naona mnajitahidi kutafuta sababu ya kuanguka baada ya uchaguzi Oct 28. Kwa hao wafadhili wenu.
 
Hachomoki aisee

Jana na leo walikuwa na kikao Na Wakurugenzi nchi Nzima Dodoma...lengo Ni kuiba Kura na kuhujumu uchaguzi
Kwa ujeuri wake alizima tambiko la chama, mwenge. Hakuna moshi wa kupumbaza mwaka huu. Alidhani wenzake ni wajinga [emoji23][emoji23]
 
Kabla hata ya matokeo kutangazwa anashindwa hata kupanda chopa , hivi anaumwaga ugonjwa gani Mpaka ashindwe kupanda chopa alioikodi kwa 1.5 bilioni , kamwachia Majaliwa .
Screenshot_20200927-065919.png
Screenshot_20200927-065940.png
 
we nae umengangana kikao kikao utafikir ulikwenda huko dodoma kusikiliza.Kama wanaelekezwa jinsi ya kukamilisha miradi iliyo katika hatua mbalimbali za utekelezaji?
Nadhani kuwageuza watanzania wajinga ni moja kati ya mikakati ya chama chako.

Alitakiwa awe kwenye kampeni Iringa kwa mujibu wa ratiba

Kitu pekee kinachoweza kubadili ratiba nuhimu ni dharula

Huwezi kuongelea mipango ya maendeleo kwenye dharula!?
 
Hata Lissu mlisema hatoweza kurudi nchini.
Siyo tu kurudi nchini. Kwamba hatapona na akifa azikwe fasta. Sijui walidhani wakichelewa atafufuka. Sasa huyu hapa, wanafanyaje? Watajua wenyewe. Hawaoni hata aibu kuita wakurugenzi nchi nzima kupanga uhalifu. Hivi hakuna aliyepenya atutupie hata ka clip alivyokuwa anawafokea na kuwapiga biti?
 
Hivi kweli unaona Chadema inaweza kushinda uchaguzi 2020!!?? Utakuwa una matatizo kwenye akili yako si bure!
Hawa wanajifariji na kutafuta sababu za baadae kuja kulalamika wakisema wameibiwa kura.

Huwezi kumshindanisha mtu ambaye miaka mitatu kashinda kitandani akitibiwa na ambaye kwa miaka mitano akitekeleza ilani iliyomuweka ikulu.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Hahaha....hongera kwa kujaribu kuwaza ila huyo mgombea wenui hana jipya zaid ya kueneza majungu badala ya kutoa Sera zenye mashiko na aeleze aliyoyafanya wakati ni mbunge aweze kushawishi umma.
Vp kuhusu yule Mgombea aliyewaita Wasimizi/Wakurugenzi wakati huu wa kampeni ndiye mwenye sera? Ni dalili tosha kuwa ni anguko kuu la ccm. Mwenye macho haambiwi tizama.
 
Hujamckiza vizur au chuki zako ximekufanya uwe kiziwi
Amekaririshwa tu. Ndio wanashikilia point mfu ataendeshaje serikali bila kodi. Badala ya mtu kusikiliza na kuweka akili yake vizuri, wanasoma script za chakubanga asiyeaminika.
 
Hachomoki aisee

Jana na leo walikuwa na kikao Na Wakurugenzi nchi Nzima Dodoma...lengo Ni kuiba Kura na kuhujumu uchaguzi
Safari hii kura haziibiki,kutakuwa na setlite camera kila kituo ikihesabu wanaoingia na kutoka.
Sasa ionekane walioingia ni 100,kura zimefika 200.Hapo kura 100 zitakuwa zimeingizwa isivyo halali.Mwizi lazima ajulikane na ashughulikiwe.
 
Back
Top Bottom