mtayeshelwa
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,170
- 390
Endelea kujidanganya ! Mbowe mwenyewe alisema kama 2015 CCM isipoondoka madarakani msubiri miaka mingine 50.CCM jiandaeni tu kuwa wapinzani. Hali si hali. Si ndani ya CCM si nje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kujidanganya ! Mbowe mwenyewe alisema kama 2015 CCM isipoondoka madarakani msubiri miaka mingine 50.CCM jiandaeni tu kuwa wapinzani. Hali si hali. Si ndani ya CCM si nje
mimi hapo zamani nilikua namkubali lisu.ila kwa sasa haelewel elewek.Anasema anatoa kodi.hivi kwa akilonya kawaida nchi gani hailipi tax payer.marekan lwenyewe ni tax mpaka lwekena lwake.
vyama tawala vemeji reform na kuweka sera na mikakati usifikiri wewe peke yako ndio una uwezo wa kufikiria
The HagueCCM haitaanguka
Jiwe Jana na leo walikuwa na kikao na Wakurugenzi nchi Nzima..lengo Ni kuiba Kura na kuhujumu uchaguzi.
Ndio maana hakufuata ratiba ya Kampeni Iringa
Uongozi ungekuwa kama mnavyouelezea basi tusingefika hapa Leo.... Endeleeni kuotaTuongeze nguvu ccm inashuka.
Hicho nacho ni kigezo cha anguko. Kwamba hatapata na kushinda kwa kura halali. Ndio anaenda kujitengenezea janga lingine. Atakiona cha moto kwasababu ataenda kuwasha moto. Hakuna mtawala aliyeshupaza shingo akapona.CCM haitaanguka
Jiwe Jana na leo walikuwa na kikao na Wakurugenzi nchi Nzima..lengo Ni kuiba Kura na kuhujumu uchaguzi.
Ndio maana hakufuata ratiba ya Kampeni Iringa
Naona mnajitahidi kutafuta sababu ya kuanguka baada ya uchaguzi Oct 28. Kwa hao wafadhili wenu.CCM haitaanguka
Jiwe Jana na leo walikuwa na kikao na Wakurugenzi nchi Nzima..lengo Ni kuiba Kura na kuhujumu uchaguzi.
Ndio maana hakufuata ratiba ya Kampeni Iringa
Mimi ni Mtz SIMPENDI Jiwe na chama chake labda wewe.Hakuna haja ya kuiba kura! Watz wanampenda Rais Magufuli kuliko unavyofikiria.
Kwa ujeuri wake alizima tambiko la chama, mwenge. Hakuna moshi wa kupumbaza mwaka huu. Alidhani wenzake ni wajinga [emoji23][emoji23]Hachomoki aisee
Jana na leo walikuwa na kikao Na Wakurugenzi nchi Nzima Dodoma...lengo Ni kuiba Kura na kuhujumu uchaguzi
Wapinzani hawajui hilo?CCM haitaanguka
Jiwe Jana na leo walikuwa na kikao na Wakurugenzi nchi Nzima..lengo Ni kuiba Kura na kuhujumu uchaguzi.
Ndio maana hakufuata ratiba ya Kampeni Iringa
Nadhani kuwageuza watanzania wajinga ni moja kati ya mikakati ya chama chako.we nae umengangana kikao kikao utafikir ulikwenda huko dodoma kusikiliza.Kama wanaelekezwa jinsi ya kukamilisha miradi iliyo katika hatua mbalimbali za utekelezaji?
Siyo tu kurudi nchini. Kwamba hatapona na akifa azikwe fasta. Sijui walidhani wakichelewa atafufuka. Sasa huyu hapa, wanafanyaje? Watajua wenyewe. Hawaoni hata aibu kuita wakurugenzi nchi nzima kupanga uhalifu. Hivi hakuna aliyepenya atutupie hata ka clip alivyokuwa anawafokea na kuwapiga biti?Hata Lissu mlisema hatoweza kurudi nchini.
Hawa wanajifariji na kutafuta sababu za baadae kuja kulalamika wakisema wameibiwa kura.Hivi kweli unaona Chadema inaweza kushinda uchaguzi 2020!!?? Utakuwa una matatizo kwenye akili yako si bure!
Vp kuhusu yule Mgombea aliyewaita Wasimizi/Wakurugenzi wakati huu wa kampeni ndiye mwenye sera? Ni dalili tosha kuwa ni anguko kuu la ccm. Mwenye macho haambiwi tizama.Hahaha....hongera kwa kujaribu kuwaza ila huyo mgombea wenui hana jipya zaid ya kueneza majungu badala ya kutoa Sera zenye mashiko na aeleze aliyoyafanya wakati ni mbunge aweze kushawishi umma.
Wakati huo naomba nikujibu kuwa mtafute na vitanda mkalale mana ccm hawezi shindwa hasa na chama ambacho kinataka kuweka rehani rasilimali za Taifa lakeCCM jiandaeni tu kuwa wapinzani. Hali si hali. Si ndani ya CCM si nje
Amekaririshwa tu. Ndio wanashikilia point mfu ataendeshaje serikali bila kodi. Badala ya mtu kusikiliza na kuweka akili yake vizuri, wanasoma script za chakubanga asiyeaminika.Hujamckiza vizur au chuki zako ximekufanya uwe kiziwi
Na kwaakili zeko unahisi wanahitaji nini kama malipo ya kuwasaidia ? Hebu jaribu kuwa unafikiria nje ya boxRobert Asmsterdam na Fatou Bensuda watatusaidia kuondoa upuuzi huu
Safari hii kura haziibiki,kutakuwa na setlite camera kila kituo ikihesabu wanaoingia na kutoka.Hachomoki aisee
Jana na leo walikuwa na kikao Na Wakurugenzi nchi Nzima Dodoma...lengo Ni kuiba Kura na kuhujumu uchaguzi
[emoji23][emoji23]nacheka kwa kuwa hurumia sana ..si dhambi kuotasafari hii anang'oka bila huruma