Uchaguzi 2020 CCM ikianguka, kitachofuata ni Magufuli na timu yake kutakiwa kujiuzulu nafasi zao ndani ya CCM

Hata Lissu mlisema hatoweza kurudi nchini.
Nani alisema hatarudi? Sisi tulijua mapema tu lini atarudi na kwa sababu gani na nia yake inajulikana lakini mpaka sasa ameshapigwa bao 3 kwa 0. Subiri uone baada ya uchaguzi ndiyo utajua TZ kwa intel ni mwisho wa maneno....!!
 
we nae umengangana kikao kikao utafikir ulikwenda huko dodoma kusikiliza.Kama wanaelekezwa jinsi ya kukamilisha miradi iliyo katika hatua mbalimbali za utekelezaji?
 
Tutawatahiri upya kwa chupa
 
CCM haitaanguka

Jiwe Jana na leo walikuwa na kikao na Wakurugenzi nchi Nzima..lengo Ni kuiba Kura na kuhujumu uchaguzi.

Ndio maana hakufuata ratiba ya Kampeni Iringa
Robert Asmsterdam na Fatou Bensuda watatusaidia kuondoa upuuzi huu
 
Wewe ndo una matatizo ya akili. Mleta mada yuko sawa kabisa!!
Haya hebu angalia hii hapa nyomi!! Unawezalingalisha na vikundi vya Lissu?
Your browser is not able to display this video.
 
Magu akikosa urais atarudi kwao,hawezi endelea kukaa nchi hii,mark my word
 
Magu akikosa urais atarudi kwao,hawezi amaendelea kukaa nchi hii,mark my word
Kwao wapi? Huyo ni ngosha na sisi akina ngosha huwa hatutishwi na mtu kwa taarifa yako!
 
Kwa akili hizi CCM itatawala zaidi ya karne ijayo
 
Hivi kweli unaona Chadema inaweza kushinda uchaguzi 2020!!?? Utakuwa una matatizo kwenye akili yako si bure!
Hata wakati mlipo mchapa mkasema hanyanyuki tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…