Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,929
- 33,764
Ukiangalia vizuri siasa ya Tanzania kwa jicho huru,aliyenza kukiua chama chetuncha CCM ni Magufuli na Samia amekizika kabisa.
Na mtu pekee aliyehakikisha huo mpango unafanikiwa ni Lissu.Ni ngumu kwa sasa chama chetu kuchaguliwa ki haki katika uchaguzi wowote.
Majabu: vyama vya siasa siku zote vinabebwa na umaarufu wa mtu,Chama kianze kumtafuta mtu na kumtengenezea umaarufu wa nia njema.kwa njia hii unaweza weka tena chama kwenye ramani.