Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,929
- 33,764
Mkuu uongozi una misingi yake,aina ya siasa ya polepole imekaa kiupinzani zaidi.Huwezi kuisema Serikali ambayo wewe ulikuwa sehemu yake huo ni uwendawazimu.Hata kama unayako kuhusu hiyo Serikali unatakiwa ukae kimya kisha tafuta nafasi yenye nguvu ndio ushugulikie.Unawaona au unahisi ni wazuri kwa sababu hawana nafasi ya kufanya decisions mkuu. Mfano mzuri ni Polepole wa Tume ya katiba na Polepole wa Magufuli.
Ilipofika ccm huyo mtu maarufu hawezi kukisaidia. Kwa sasa chama kimekuwa cartel kinakumbatia matajiri na mafisadi. Hao matajiri na mafisadi muda wote watataka uongozi wa ccm uwe unafavour their interests.Ukiangalia vizuri siasa ya Tanzania kwa jicho huru,aliyenza kukiua chama chetuncha CCM ni Magufuli na Samia amekizika kabisa.
Na mtu pekee aliyehakikisha huo mpango unafanikiwa ni Lissu.Ni ngumu kwa sasa chama chetu kuchaguliwa ki haki katika uchaguzi wowote.
Majabu: vyama vya siasa siku zote vinabebwa na umaarufu wa mtu,Chama kianze kumtafuta mtu na kumtengenezea umaarufu wa nia njema.kwa njia hii unaweza weka tena chama kwenye ramani.
Hawamtumii na hawataki,ona alivyotoswa TOC!Watu kama Mkuu WA mkoa WA njombe Mtaka ni miongoni mea tunu za CCM
Mi sijaangalia aliyosema polepole baada ya kutoka kwenye ubalozi. Hoja yangu ni Polepole wa tume ya katiba na Polepole wa Magufuli. Huyo Polepole wa shule ya uongozi, ubalozi na upinzani achana naye kwanza. Maana jamaa ana faces nyingi sana.Mkuu uongozi una misingi yake,aina ya siasa ya polepole imekaa kiupinzani zaidi.Huwezi kuisema Serikali ambayo wewe ulikuwa sehemu yake huo ni uwendawazimu.Hata kama unayako kuhusu hiyo Serikali unatakiwa ukae kimya kisha tafuta nafasi yenye nguvu ndio ushugulikie.
Angalia mfano kwa nchimbi walipishana na Kikwete kuhusu kumteua Magufuli kuwa Rais -alikaa kimya wala hakuanza kuusema Utawala tena mpaka amevuna Umakamu wa Rais.
Sasa hivi ndivyo walivyo watu waliowengi ccm na mostly Tanzania nzima wengi tuko hivi.Polepole alikuwa ndumila kuwili ni mtu wamaslahi