CCM ikikosea kuteua watu sahihi, majimbo yafuatayo yatachukuliwa na upinzani

CCM ikikosea kuteua watu sahihi, majimbo yafuatayo yatachukuliwa na upinzani

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,598
Reaction score
9,539
1. Arusha.
2. Bumbuli.
3. Piramiho.
4. Kibamba.
5. Kisesa.
6. Kigoma mjini.
7. Simanjiro.
8. Iringa mjini.
9. Bunda.
Hayo majimbo yanahitaji mteule 1 makini zaidi na mwenye ushawishi mkubwa, hodari na mchapa kazi.
Kinyume cha hapo upinzani watanyakua.
 
Yatachukuliwa na nani sasa kwa mfano? Chaumma? Uteuzi ushaisha hivo mama keshateua watu wake anaotaka hamna cha uchaguzi tena, kifua kipana anabalance namba watakazotangaza za ushindi wa 100%
 
1. Arusha.
2. Bumbuli.
3. Piramiho.
4. Kibamba.
5. Kisesa.
6. Kigoma mjini.
7. Simanjiro.
8. Iringa mjini.
9. Bunda.
Hayo majimbo yanahitaji mteule 1 makini zaidi na mwenye ushawishi mkubwa, hodari na mchapa kazi.
Kinyume cha hapo upinzani watanyakua.
kwa Tume hii ya mama CCM itapeta kote!
Hii mnayoambiwa mkipiga kura mwende majumbani kwenu na hata msipopiga kura wanashinda!
CHAUMMA, ACT wajiandae kulia kilio cha mbwamwitu
 
kwa Tume hii ya mama CCM itapeta kote!
Hii mnayoambiwa mkipiga kura mwende majumbani kwenu na hata msipopiga kura wanashinda!
CHAUMMA, ACT wajiandae kulia kilio cha mbwamwitu
Uchaguzi wa mwaka 2015 chadema iliingiza 23% ya wabunge bungeni,
Wabunge zaidi ya 34 walishinda kupitia Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

Leo hii tuna TUME HURU YA UCHAGUZI.
Washindwe wenyewe tu.
 
Uchaguzi wa mwaka 2015 chadema iliingiza 23% ya wabunge bungeni,
Wabunge zaidi ya 34 walishinda kupitia Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

Leo hii tuna TUME HURU YA UCHAGUZI.
Washindwe wenyewe tu.
Dah! yaani umeenda hadi 2015 mbali kote huko kwenye Tume ya Kikwete, kwa nini usiende tume ya akina Samia ya 2020 waliingiza wangapi?
 
1. Arusha.
2. Bumbuli.
3. Piramiho.
4. Kibamba.
5. Kisesa.
6. Kigoma mjini.
7. Simanjiro.
8. Iringa mjini.
9. Bunda.
Hayo majimbo yanahitaji mteule 1 makini zaidi na mwenye ushawishi mkubwa, hodari na mchapa kazi.
Kinyume cha hapo upinzani watanyakua.
Upinzani gani unautaja hapo? Chaumma? Wekeni Uwanja sawa kwanza Ili upinzani wa kweli CHADEMA washiriki uchaguzi muone kama mtabaki na Jimbo
 
1. Arusha.
2. Bumbuli.
3. Piramiho.
4. Kibamba.
5. Kisesa.
6. Kigoma mjini.
7. Simanjiro.
8. Iringa mjini.
9. Bunda.
Hayo majimbo yanahitaji mteule 1 makini zaidi na mwenye ushawishi mkubwa, hodari na mchapa kazi.
Kinyume cha hapo upinzani watanyakua.
hakuna upinzani Tz. mpinzani mmemwogopa na kum'bambikiza kesi isiyo na dhamana. Tunaendelea kumlilia Mungu wetu wa mbinguni, atufanyie wepesi.
 
1. Arusha.
2. Bumbuli.
3. Piramiho.
4. Kibamba.
5. Kisesa.
6. Kigoma mjini.
7. Simanjiro.
8. Iringa mjini.
9. Bunda.
Hayo majimbo yanahitaji mteule 1 makini zaidi na mwenye ushawishi mkubwa, hodari na mchapa kazi.
Kinyume cha hapo upinzani watanyakua.
Mpinzani yupi unayemwongelea
 
Back
Top Bottom