Upinzani kupita wajipange sana.
Upinzani hakuna.1. Arusha.
2. Bumbuli.
3. Piramiho.
4. Kibamba.
5. Kisesa.
6. Kigoma mjini.
7. Simanjiro.
8. Iringa mjini.
9. Bunda.
Hayo majimbo yanahitaji mteule 1 makini zaidi na mwenye ushawishi mkubwa, hodari na mchapa kazi.
Kinyume cha hapo upinzani watanyakua.
Mimi nahisi ungeanzia kwq Rais harafu kwa bumbuli shida yao ilikuwa sio ccm ila makamba1. Arusha.
2. Bumbuli.
3. Piramiho.
4. Kibamba.
5. Kisesa.
6. Kigoma mjini.
7. Simanjiro.
8. Iringa mjini.
9. Bunda.
Hayo majimbo yanahitaji mteule 1 makini zaidi na mwenye ushawishi mkubwa, hodari na mchapa kazi.
Kinyume cha hapo upinzani watanyakua.
kupita bila kupingwa...... kwenye uongozi wa KIDEMOKARASIA ni sawa na WENDAWAZIMU TU1. Arusha.
2. Bumbuli.
3. Piramiho.
4. Kibamba.
5. Kisesa.
6. Kigoma mjini.
7. Simanjiro.
8. Iringa mjini.
9. Bunda.
Hayo majimbo yanahitaji mteule 1 makini zaidi na mwenye ushawishi mkubwa, hodari na mchapa kazi.
Kinyume cha hapo upinzani watanyakua.
ACT WAZALENDO NA CHAUMAWapinzani wepi
Wakati wote wamepigwa pini
Ova