Ya uchafuziKwa tume ipi?
kwa Tume hii ya mama CCM itapeta kote!1. Arusha.
2. Bumbuli.
3. Piramiho.
4. Kibamba.
5. Kisesa.
6. Kigoma mjini.
7. Simanjiro.
8. Iringa mjini.
9. Bunda.
Hayo majimbo yanahitaji mteule 1 makini zaidi na mwenye ushawishi mkubwa, hodari na mchapa kazi.
Kinyume cha hapo upinzani watanyakua.
Uchaguzi wa mwaka 2015 chadema iliingiza 23% ya wabunge bungeni,kwa Tume hii ya mama CCM itapeta kote!
Hii mnayoambiwa mkipiga kura mwende majumbani kwenu na hata msipopiga kura wanashinda!
CHAUMMA, ACT wajiandae kulia kilio cha mbwamwitu
Dah! yaani umeenda hadi 2015 mbali kote huko kwenye Tume ya Kikwete, kwa nini usiende tume ya akina Samia ya 2020 waliingiza wangapi?Uchaguzi wa mwaka 2015 chadema iliingiza 23% ya wabunge bungeni,
Wabunge zaidi ya 34 walishinda kupitia Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Leo hii tuna TUME HURU YA UCHAGUZI.
Washindwe wenyewe tu.
Upinzani gani unautaja hapo? Chaumma? Wekeni Uwanja sawa kwanza Ili upinzani wa kweli CHADEMA washiriki uchaguzi muone kama mtabaki na Jimbo1. Arusha.
2. Bumbuli.
3. Piramiho.
4. Kibamba.
5. Kisesa.
6. Kigoma mjini.
7. Simanjiro.
8. Iringa mjini.
9. Bunda.
Hayo majimbo yanahitaji mteule 1 makini zaidi na mwenye ushawishi mkubwa, hodari na mchapa kazi.
Kinyume cha hapo upinzani watanyakua.
Wanasema wametanua wigo waombaji ni wengi ila pale juu hata huyo mmoja wameshindwa kumjazisha form na kutafuta wadhamini.Kote mmekosea kuanzia juu mpaka chini
hakuna upinzani Tz. mpinzani mmemwogopa na kum'bambikiza kesi isiyo na dhamana. Tunaendelea kumlilia Mungu wetu wa mbinguni, atufanyie wepesi.1. Arusha.
2. Bumbuli.
3. Piramiho.
4. Kibamba.
5. Kisesa.
6. Kigoma mjini.
7. Simanjiro.
8. Iringa mjini.
9. Bunda.
Hayo majimbo yanahitaji mteule 1 makini zaidi na mwenye ushawishi mkubwa, hodari na mchapa kazi.
Kinyume cha hapo upinzani watanyakua.
Mpinzani yupi unayemwongelea1. Arusha.
2. Bumbuli.
3. Piramiho.
4. Kibamba.
5. Kisesa.
6. Kigoma mjini.
7. Simanjiro.
8. Iringa mjini.
9. Bunda.
Hayo majimbo yanahitaji mteule 1 makini zaidi na mwenye ushawishi mkubwa, hodari na mchapa kazi.
Kinyume cha hapo upinzani watanyakua.