Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Chakubanga Polepole abaki hukohuko sisi huku hatuwataki wanafiki .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama cha Mbowe ni mtu punguani tu anayeweza hamia kule. Kule mwenyekiti ndio mwenye final say, hata Lissu mwenyewe hajui hatma yake pale baada ya tarehe 28.Yeye atarudi kwao Ubelgiji, ila wengine Komaa kamanda, watakomaa mpaka kukoma. Saccos inakwenda kuvunjika, ruzuku, michango ya wabunge, vitu maalum kwisha kabisa. Freemedia Tanzania daima Hoyee, Mbowe and Company Hoyee, Kilimanjaro veggie limited Hoyee ndio Chadema mkachukue ruzuku huko kwa Mwenyekiti wenu aliyewashika akili kama manyumbu.Polepole bado Ni kijana, na hakuna kijana anaipenda CCM Ila kwa maslahi ya kuwa chama tawala. Hivyo Kama siku CCM (Mungu apishie mbali) ikianguka kwenye uchaguzi CCM itakimbiwa na wengi hata usiowatarajia. Wakwanza kuhamia Chadema anaweza kuwa mh. Polepole.
Kila anayesema CCM Oyeee mtizame usoni utaona kitu kilichojificha machoni na usoni mwake. Hapa haijalishi Ni Rais mstaafu, makamu, Waziri Mkuu au mwananchi wa kawaida.
Kwahiyo Ni vema hata viongozi wa chama na serikali waliopo wakaweka akiba ya maneno na vitendo.
Kazi ya Baba wa taifa kuwakosoa viongozi ameiacha kwa vyama vya upinzani, hasa Chadema. Mfano, Kama Baba wa taifa angekuwa hai bado uwanja wa ndege wa chato huenda usingejengwa.
Polepole sio kijana ni kazee kachumia tumboPolepole bado Ni kijana, na hakuna kijana anaipenda CCM Ila kwa maslahi ya kuwa chama tawala. Hivyo Kama siku CCM (Mungu apishie mbali) ikianguka kwenye uchaguzi CCM itakimbiwa na wengi hata usiowatarajia. Wakwanza kuhamia Chadema anaweza kuwa mh. Polepole.
Kila anayesema CCM Oyeee mtizame usoni utaona kitu kilichojificha machoni na usoni mwake. Hapa haijalishi Ni Rais mstaafu, makamu, Waziri Mkuu au mwananchi wa kawaida.
Kwahiyo Ni vema hata viongozi wa chama na serikali waliopo wakaweka akiba ya maneno na vitendo.
Kazi ya Baba wa taifa kuwakosoa viongozi ameiacha kwa vyama vya upinzani, hasa Chadema. Mfano, Kama Baba wa taifa angekuwa hai bado uwanja wa ndege wa chato huenda usingejengwa.
Huwezi kufananisha hao na sisi, hao uliowataja waliingia kwa mapinduzi na wakatolewa kwa mapinduzi, huoni tofauti hiyo?Kwani akina Gaddafi omary Ali bashiri nao walikuwa wanaona watakaa mpaka vitukuu vyao Leo hii wako wapi nchi sio ya ccm ni ya watanzania wote
Makaburu walikua na Kila kitu ,hata kuliko ulivyovitaja mkuu,ila walifunga virago,nyakati hubadilika siku ukifika Kila kitu kinakuwa chepesi,Truth be told, mpaka siku NEC ikifanyiwa major overhaul au Jeshi liamue kufanya yake, CCM haitong’oka pale madarakani.
You can take this to the Bank...
Polepole bado Ni kijana, na hakuna kijana anaipenda CCM Ila kwa maslahi ya kuwa chama tawala. Hivyo Kama siku CCM (Mungu apishie mbali) ikianguka kwenye uchaguzi CCM itakimbiwa na wengi hata usiowatarajia. Wakwanza kuhamia Chadema anaweza kuwa mh. Polepole.