Uchaguzi 2020 CCM ikishindwa uchaguzi hata Polepole atahamia CHADEMA

Chama cha Mbowe ni mtu punguani tu anayeweza hamia kule. Kule mwenyekiti ndio mwenye final say, hata Lissu mwenyewe hajui hatma yake pale baada ya tarehe 28.Yeye atarudi kwao Ubelgiji, ila wengine Komaa kamanda, watakomaa mpaka kukoma. Saccos inakwenda kuvunjika, ruzuku, michango ya wabunge, vitu maalum kwisha kabisa. Freemedia Tanzania daima Hoyee, Mbowe and Company Hoyee, Kilimanjaro veggie limited Hoyee ndio Chadema mkachukue ruzuku huko kwa Mwenyekiti wenu aliyewashika akili kama manyumbu.
Wengi humu washabiki tu, hawana hata kadi ya chadema. Bila ruzuku, bila michango, bila mabeberu chama kitajifia maana sioni Mbowe akito mpunga wake kuwapa mle. Magufuli tano tena, shikilia hapohapo mpaka tarehe 28.
 
Polepole sio kijana ni kazee kachumia tumbo
 
Na CDM wakimpokea basi na wao wanafik. Unajua kama mtu anaendeshwa na maslahi yake binafsi, wa nini kwenye chama kinachotetea maslahi ya wananchi?
 
Kwani akina Gaddafi omary Ali bashiri nao walikuwa wanaona watakaa mpaka vitukuu vyao Leo hii wako wapi nchi sio ya ccm ni ya watanzania wote
Huwezi kufananisha hao na sisi, hao uliowataja waliingia kwa mapinduzi na wakatolewa kwa mapinduzi, huoni tofauti hiyo?
 
Na ndo chadema haishindi sasa, inaweza kuwa ni kweli hawaipendi ccm lakini sio kuipenda chadema pia.
 
Truth be told, mpaka siku NEC ikifanyiwa major overhaul au Jeshi liamue kufanya yake, CCM haitong’oka pale madarakani.

You can take this to the Bank...
Makaburu walikua na Kila kitu ,hata kuliko ulivyovitaja mkuu,ila walifunga virago,nyakati hubadilika siku ukifika Kila kitu kinakuwa chepesi,
Mi naamini Kama wakati wa ccm wa kuondoka madarani bado watabaki ila Kama umefikia itumike njia zipi inaondoka tena mpaka unashindwa kuamini,hacha mungu aitwe mungu,
 
Waliopo ccm wapo kwa ajili ya matumbo yao tu, anzia kwa Viongozi wa juu hadi wajumbe
 

Si mpaka lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…