Pre GE2025 CCM iko mtaani CHADEMA iko mtandaoni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tusidanganyane, ukweli ni kuwa wananchi hawana imani na tume ya uchaguzi, wanachokifanya sasa hivi ni kususa kwa sababu bado hawajapigika kisawa sawa

Kuhusu kwa nini unaona kuwa hawapo na cdm ni kwa sababu hakuna mantiki , chadema sio suluhisho la kuitoa ccm kwa sasa ccm haiwezi kutoka kwa maneno, ccm itatoka kwa damu kumwagika kama mkolpni au Ke. Na muda wa wabongo kumwaga damu iki kuitoa ccm bafo haujafika ila nfio tunaelekea huko.
 
Siuanzishe chama chako
 
Wananchi wapi hao unawazungumzia?
Wa mtaani au wa mtandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…