Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Tusidanganyane, ukweli ni kuwa wananchi hawana imani na tume ya uchaguzi, wanachokifanya sasa hivi ni kususa kwa sababu bado hawajapigika kisawa sawaAiseee CCM ni wakongwe ndio maana wao wako busy mitaani kusajili wapiga kura wapya na wanachama wapya mitaani .
Lakini chadema wamejikita kwenye mitandao tu kuangalia linalotrend wapinge au watoe maoni. Kwa hali hii CCM itabaki milele na mtindo wa kupata wanachama ukiwabeba vizazi na vizazi.
Chadema badilikeni
Kuhusu kwa nini unaona kuwa hawapo na cdm ni kwa sababu hakuna mantiki , chadema sio suluhisho la kuitoa ccm kwa sasa ccm haiwezi kutoka kwa maneno, ccm itatoka kwa damu kumwagika kama mkolpni au Ke. Na muda wa wabongo kumwaga damu iki kuitoa ccm bafo haujafika ila nfio tunaelekea huko.