CCM iko wapi hadi Mawaziri wanampotosha Rais kiasi hiki

Taarifa ipi ya uongo?

1: Waziri wa Nishati amemwambia Mh Rais kuwa Mradi wa Bwawa la Nyerere unakamilika 2024 na Mh Rais akatutanzania Umma huku akijua fika Mradi unakamilika 2023 kwa mujibu wa Mkataba

2. Waziri Mwigulu yeye unayajua ya kwake

Aliyekwambia unakamlika mwakani Ni Nani? Mkataba Ni biblia? Acha ufala wewe..

Ya kwake yapi ?
 
Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba na Waziri wa Nishati Januari Makamba wamepoteza sifa za kuendelea kubaki kwenye madaraka yao kwa kitumia vibaya nafasi zao za uwaziri kumdanganya Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan juu ya mambo mbalimbali ya utekelezaji wa majukumu ya Wizara zao ili lile lengo lao liweze alilosema Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila liweze kutimia.

Waziri Mwigulu anafahamu fika kuwa nchi yetu kwa mujibu wa taarifa za Benki ya Dunia tuko uchumi wa kati ila yeye kwa kwa makusudi na sababu anazozijua yeye akaenda kumwambia Mh Rais kwamba tumeshuka hatuko tena uchumi wa kati na Mh Rais akaliambia Taifa kuwa tumeshuka kutoka uchumi wa kati.

Waziri Makamba naye anampelekea taarifa za wizara yake Mh Rais kuwa Bwawa la Mwalimu Nyerere litakamilika Mwaka 2024 huku akijua fika kuwa Mkataba walioongeza ni wa mwaka mmoja hadi Juni 2023 lakini kwa sababu anazozijua yeye (Za Chalamila ) akamdanganya Rais wetu na kusababisha taharuki kubwa miongoni mwa watanzania.

Viongozi wetu wakuu wastaafu Mh Jakaya Mrisho Kikwete, Mh Mizengo Kayanda Pinda, Mh Joseph Warioba, Mh Joseph Butiku na viongozi wa dini mbalimbali tunaomba muongee na Mh Rais juu ya utendaji mbovu wa mawaziri wake hawa wawili.

Na kimsingi hao wawili ndio wanaochafua taswira nzima ya Serikali ya awamu ya Sita tofauti na Simbachawene na Mwigulu walivyomshambulia Prof Muhongo bungeni kwamba amedanganya juu ya nchi yetu kushuka kutoka uchumi wa kati.
 
Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba na Waziri wa Nishati Januari Makamba wamepoteza sifa za kuendelea kubaki kwenye madaraka yao kwa kitumia vibaya nafasi zao za uwaziri kumdanganya Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan juu ya mambo mbalimbali ya utekelezaji wa majukumu ya Wizara zao ili lile lengo lao liweze alilosema Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila liweze kutimia.

Waziri Mwigulu anafahamu fika kuwa nchi yetu kwa mujibu wa taarifa za Benki ya Dunia tuko uchumi wa kati ila yeye kwa kwa makusudi na sababu anazozijua yeye akaenda kumwambia Mh Rais kwamba tumeshuka hatuko tena uchumi wa kati na Mh Rais akaliambia Taifa kuwa tumeshuka kutoka uchumi wa kati.

Waziri Makamba naye anampelekea taarifa za wizara yake Mh Rais kuwa Bwawa la Mwalimu Nyerere litakamilika Mwaka 2024 huku akijua fika kuwa Mkataba walioongeza ni wa mwaka mmoja hadi Juni 2023 lakini kwa sababu anazozijua yeye (Za Chalamila ) akamdanganya Rais wetu na kusababisha taharuki kubwa miongoni mwa watanzania.

Viongozi wetu wakuu wastaafu Mh Jakaya Mrisho Kikwete, Mh Mizengo Kayanda Pinda, Mh Joseph Warioba, Mh Joseph Butiku na viongozi wa dini mbalimbali tunaomba muongee na Mh Rais juu ya utendaji mbovu wa mawaziri wake hawa wawili.

Na kimsingi hao wawili ndio wanaochafua taswira nzima ya Serikali ya awamu ya Sita tofauti na Simbachawene na Mwigulu walivyomsambulia Prof Muhongo bungeni kwamba amedanganya juu ya nchi yetu kushuka kutoka uchumi wa kati.
Magazeti yako hata siyasomi..Wewe ndio una sifa za kukalia hivyo viti? Ukiwateua wewe?

Taswira imechafuka wapi? Yule muuaji taswira yake ilikuwa inang'aa?
 
Kuna mwana ccm wa Miaka hii ambaye sio mpotoshaji au muongo muongo ?
Ila PM amezidi mkuu, katuingiza chaka mpaka tukio la juzi la ajari ya Precission Air?! Nilijua atabadirika baada ya issue ya tar 17/03
 
Misingi ya CCM iko wazi na hakuna mstari hata mmoja unaosema watu waibe wala wasiwe wazalendo kwa taifa lao
80% ya waliopo kwenye hicho chama hawazingatii hiyo misingi ndio maana kimekuwa kokoro ,kubeba mafisadi wa nje na ndani.
 
Misingi ya CCM iko wazi na hakuna mstari hata mmoja unaosema watu waibe wala wasiwe wazalendo kwa taifa lao
Sehemu pekee ambapo majizi na mafisadi na wavunja sheria wengine wanaweza kupata hifadhi salama bila bughudha ya vyombo vya kisheria ni ndani ya hicho Chama.
 
Back
Top Bottom