CCM iko wapi hadi Mawaziri wanampotosha Rais kiasi hiki

Zinawatesaje? Wewe wa Dar utaniambia Nini na Mimi Niko mkoani? Na Mimi pia Ni mkulima
mkuu
Jiangalie mie muda huu niko mlowa pawaga shambani sio wa DAR Mimi wewe

Iko hivi mbolea za ruzuku zinavyotesa watu

1-- ukiwa mjenga hoja nzito kwenye mikutano mikuu ya vijiji viongozi hubatiza watu hao wapinzani hatakama simwana ACT-wazalendo hutapata ruzuku labda utumie jina la mwanaccm umuombe

2-- zinauzwa kwa Bei ya juu kidogo na kuwapa watu wenye uwezo na mengine mengi

note; huyo babu lazima atakua alinyimwa na akapanic mwisho yaliyotokea
 
Wewe acha upuuzi Bei ya mbolea za ruzuku Nchi nzima Ni 60,000-70,000 hiyo Bei ya Juu Ni ipi? Na yanatakiwa kujiandikisha..

Kama.hiyo Ni Bei ya Juu kanunue Basi 130,000 Ni Bei ya chini.

Kuwatesa wakulima kupi labda foleni tofauti na hapo Hakuna kingine..

Ndio nyie ndio Wapinzani wenyewe mnaotumiwa lazima wanavijiji wawashughulikie.
 
@The Sunk Cost Fallacy 2 atayajua wapi haya yuko Mikocheni anakula chips yai hajui viazi anavyokula tunalimaje huku
 
Wewe acha upuuzi Bei ya mbolea za ruzuku Nchi nzima Ni 60,000-70,000 hiyo Bei ya Juu Ni ipi? Na yanatakiwa kujiandikisha..

Kama.hiyo Ni Bei ya Juu kanunue Basi 130,000 Ni Bei ya chini.

Kuwatesa wakulima kupi labda foleni tofauti na hapo Hakuna kingine..

Ndio nyie ndio Wapinzani wenyewe mnaotumiwa lazima wanavijiji wawashughulikie.
Usijibu usichoelewa Mimi nimesema ofisi ya Kijiji huuza mbolea kwa Bei ya juu kidogo mfano umesema ruzuku ni 60000, dukani huuzwa 120000 ,hivyo akitokea mtu akasema naomba mifuko 20 kwa Bei 90000 wanauza ndivo wanavofanya

Tafsiri 30000 Alf ni yakwao ,umenielewa nachosema
 
Hao Ni wahalifu tuu Kama wahalifu wengine,huko kwenu Kuna Viongozi nenda mkawaripoti..

Huku niliko sijasikia hiyo ishu badala yake mbolea zimekuja ila watu hawajajitokeza wa kutosha kuzichukua Kama walivyoandikishwa..
 
Huwezi sikia hivyo vitu vinafanyika very technically unamwona anabeba mjomba wako mifuko hapo unadhani kachanganya na wezake kumbe kashalipwa kilakitu yeye kawa punda aliyetengenezwa kubeba

Hizi ni deed assignment ,mnavokuja kuelewa msimu wa mbolea ruzuku imeshapita

Ukitaka kujua Hilo wafatikie migambo hapo kijijini na baadhi ya wajumbe waccm utakuta jion wamekaa sehemu kwapamoja wanakunywa bia akati kipindi kingine chote ni comoni(pombe machicha) au ulanzi

bado mchanga kwenye Mambo haya
 
Back
Top Bottom