The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Zinawatesaje? Wewe wa Dar utaniambia Nini na Mimi Niko mkoani? Na Mimi pia Ni mkulimahujui huko vijijini mbolea za ruzuku zinavyotesa watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zinawatesaje? Wewe wa Dar utaniambia Nini na Mimi Niko mkoani? Na Mimi pia Ni mkulimahujui huko vijijini mbolea za ruzuku zinavyotesa watu
mkuuZinawatesaje? Wewe wa Dar utaniambia Nini na Mimi Niko mkoani? Na Mimi pia Ni mkulima
Wewe acha upuuzi Bei ya mbolea za ruzuku Nchi nzima Ni 60,000-70,000 hiyo Bei ya Juu Ni ipi? Na yanatakiwa kujiandikisha..mkuu
Jiangalie mie muda huu niko mlowa pawaga shambani sio wa DAR Mimi wewe
Iko hivi mbolea za ruzuku zinavyotesa watu
1-- ukiwa mjenga hoja nzito kwenye mikutano mikuu ya vijiji viongozi hubatiza watu hao wapinzani hatakama simwana ACT-wazalendo hutapata ruzuku labda utumie jina la mwanaccm umuombe
2-- zinauzwa kwa Bei ya juu kidogo na kuwapa watu wenye uwezo na mengine mengi
note; huyo babu lazima atakua alinyimwa na akapanic mwisho yaliyotokea
@The Sunk Cost Fallacy 2 atayajua wapi haya yuko Mikocheni anakula chips yai hajui viazi anavyokula tunalimaje hukumkuu
Jiangalie mie muda huu niko mlowa pawaga shambani sio wa DAR Mimi wewe
Iko hivi mbolea za ruzuku zinavyotesa watu
1-- ukiwa mjenga hoja nzito kwenye mikutano mikuu ya vijiji viongozi hubatiza watu hao wapinzani hatakama simwana ACT-wazalendo hutapata ruzuku labda utumie jina la mwanaccm umuombe
2-- zinauzwa kwa Bei ya juu kidogo na kuwapa watu wenye uwezo na mengine mengi
note; huyo babu lazima atakua alinyimwa na akapanic mwisho yaliyotokea
Usijibu usichoelewa Mimi nimesema ofisi ya Kijiji huuza mbolea kwa Bei ya juu kidogo mfano umesema ruzuku ni 60000, dukani huuzwa 120000 ,hivyo akitokea mtu akasema naomba mifuko 20 kwa Bei 90000 wanauza ndivo wanavofanyaWewe acha upuuzi Bei ya mbolea za ruzuku Nchi nzima Ni 60,000-70,000 hiyo Bei ya Juu Ni ipi? Na yanatakiwa kujiandikisha..
Kama.hiyo Ni Bei ya Juu kanunue Basi 130,000 Ni Bei ya chini.
Kuwatesa wakulima kupi labda foleni tofauti na hapo Hakuna kingine..
Ndio nyie ndio Wapinzani wenyewe mnaotumiwa lazima wanavijiji wawashughulikie.
Mkuu Asante kwakunielewa namanisha nn Mana sisi tuko field kwenyewe@The Sunk Cost Fallacy 2 atayajua wapi haya yuko Mikocheni anakula chips yai hajui viazi anavyokula tunalimaje huku
Hao Ni wahalifu tuu Kama wahalifu wengine,huko kwenu Kuna Viongozi nenda mkawaripoti..Usijibu usichoelewa Mimi nimesema ofisi ya Kijiji huuza mbolea kwa Bei ya juu kidogo mfano umesema ruzuku ni 60000, dukani huuzwa 120000 ,hivyo akitokea mtu akasema naomba mifuko 20 kwa Bei 90000 wanauza ndivo wanavofanya
Tafsiri 30000 Alf ni yakwao ,umenielewa nachosema
Huwezi sikia hivyo vitu vinafanyika very technically unamwona anabeba mjomba wako mifuko hapo unadhani kachanganya na wezake kumbe kashalipwa kilakitu yeye kawa punda aliyetengenezwa kubebaHao Ni wahalifu tuu Kama wahalifu wengine,huko kwenu Kuna Viongozi nenda mkawaripoti..
Huku niliko sijasikia hiyo ishu badala yake mbolea zimekuja ila watu hawajajitokeza wa kutosha kuzichukua Kama walivyoandikishwa..