Hawa jamaa ndiyo walijua namna ya kufanya siasa na kuifanya ccm ichanue tena ndani ya mioyo ya watanzania. Walijua waseme nn, wakati gani na kwa faida gani?
CCM ilinga'ara na kupendwa sana. Chaguzi zilipofika kulikuwa na mtifuano wa haki wa kisiasa baina ya CCM na wapinzani.
Baada ya wao kuondoka CCM kupitia Polepole ikaanza kutafuta wafuasi kwa manunuzi. Hivi sasa CCM imejaa mashaka chini ya uenezi wa Shaka.