CCM iliendaga na hawa mgwiji wawili wa siasa. Hivi Sasa CCM iko mochwari

Umeamua kujifurahisha.

CCM ile watu wanavaa jezi zao wakifika kwenye mkutano na kuvua wakimaliza mkutano?

Hakuna CCM iliyoendekeza rushwa, kujuaa na kupola mali kama hii.

Katibu anasafirisha pembe za ndovu kwenye meli afu unasema nini?

Hao walichofanikiwa na kumuweka JPM kuwa rais tu basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…