PreGE2025 CCM ilipaswa kulinda Demokrasia ya kuchagua na kuchaguana ndani ya chama badala ya hivi ilivyofanyika

PreGE2025 CCM ilipaswa kulinda Demokrasia ya kuchagua na kuchaguana ndani ya chama badala ya hivi ilivyofanyika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Umesomaje nilichoandika!!? Unafahamu tofauti ya kuwa Mwanachama, Shabiki na Muumini!!?

Kupotosha ni kufanyaje walau kwa tafsiri yako!!? Hujapenda!!? Kusema kweli sitarajii ninachoandikwa kupendwa na kila anayesoma na hivyo wewe ni sehemu ya ambao hawajapenda, nilitarajia wawepo wasiopenda
Achananae huyo hajielewi. Na hata hajui kuhusu kufanya mambo kwa upana na kuangalia maslahi mapana ya umma. Mwambie pia hivi vyama vinapewa ruzuku ambazo ni kodi za wenye vyama na wasio na vyama. Sijui anaelewaaa
 
Back
Top Bottom