Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
Nadhani ndugu zangu Wana jamii forum mnajionea kwa Haya yanayoendelea..mwanzoni ccm walijificha kwenye kichaka Cha 'amani" amani' amani" waliiminya haki huku wakiimba wimbo wa amani na yeyote yule ambae alionekana kuidai haki moja kwa moja alionekana ni mvujifu wa amani.
Sasa gia hii kipindi hiki imekuwa ngumu wananchi wameonekana kuishtukia sasa wapo tayari kufanya lolote ikiwezekana hata kuuwa , kutesa watu na kuwafunga magerezani ili wao Tu waendelee kubaki madarakani...
vijana wenzangu wasomi jobless tembeeni kwa umakini sana la sivyo tunaweza kupoteza kila kitu hata hii Afya tuliopewa na MUNGU.