Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kuna ngoma nimeiskiriza ya Remi ongala ilikua Ina husu CCM kufeliMiaka 60 ya uhuru ni jambo gani ambalo ccm wanaweza kujivunia wamelifanya na ku accomplish angalau kwa asilimia 60%...
Miaka 60 ya uhuru ni jambo gani ambalo ccm wanaweza kujivunia wamelifanya na ku accomplish angalau kwa asilimia 60%.
Wale maadui watatu waliotangazwa na Baba wa Taifa ujinga, maradhi na Umaskini vyote viko pale pale.
Umee bado ni kero licha ya kuwepo kwa vyanzo vingi vya uzalishaji.
Tuna ardhi na mito, maziwa na bahari lakini wananchi wetu bado wanashida sana na maji.
Kwenye Elimu wanaofanya vizuri ni watoto wa vigogo wanaosomea shule za wenye nazo.
Na wala kwa sasa chama hakina diraKuhusu suala la maendeleo ccm ishajikatia tamaa na wao wanajua chama kimeoza juu ya wahuni na mafisadi,kilichobaki sasa ni genge la wahuni na mafisadi kuendelea kulinda maslahi yao kupitia chama.
Chama itikadi na watu.....hiyo combimation ndio chama.CCM kama chama hakijafeli,waliofeli ni watendaji wake.
Hata mimi niliisilia ccm ilifeli tangu 1970sKuna ngoma nimeiskiriza ya Remi ongala ilikua Ina husu CCM kufeli
Mbali wapi?tumetoka mbali sana hujui kitu wewe
ujima na ubugabireMbali wapi?
Kilichokufa hapo ni watu japo wapo. Itikadi na chama vipoChama itikadi na watu.....hiyo combimation ndio chama.
Sasa Leo hii sini marudio haya yanafanyika tunachoshangaa niniHata mimi niliisilia ccm ilifeli tangu 1970s
Weka kumbukumbu sawa, wakati tunapata uhuru tulikuwa million 9 leo hii tupo 60 millioniKwa hiyo kwa akili yako finyu ukiingalia Tanzania ya leo unaona inafanana na ile ya mwaka 61? Maendeleo ya Elimu,huduma za afya , miundombinu,hali ya kipato cha mwananchi mmoja mmoja unaona kinafanana na kile cha 61 wakati tunapata uhuru? Embu niambie wakati tunapata uhuru tulikuwa na shule bgaia za sekondari pamoja na vyuo vikuu na leo tunavyo vingapi? Embu niambie wakati tunapata uhuru tulikuwa na barabara ngapi za lami na leo zipo ngapi? Embu niambie tulikuwa na madaktari na wahandisi wangapi na leo tupo nao wangapi? Embu niambie tulikuwa na vituo vya afya vingapi na leo vipo vingapi? Embu niambie tulikuwa na wasomi wa vyuo vikuu wangapi waliomaliza kila mwaka na leo tunaona wangapi? Embu bibie hali ya kipato cha wananchi cha leo ni sawa na cha 61? Vipi kuhusu makazi ya watu na ubora wake unaona yanafanana na yale ya 1961? Embu niambie ulikuwa unatumia siku ngapi kutoka mkoani kutoka mikoani mpaka kufika Dar na leo muda gani inatumika? Vipi barabara za kuunganisha mikoa kwa mikoa na wilaya kwa wilaya ngapi zilikuwa zimeunganishwa? Leo zipo ngapi?
Acha mibangi kuvuta wakati hata akili yako yenyewe haipo sawa. CCM Ni chama kilichoifayia makubwa sana nchi yetu,ni chama kilicholeta maendeleo kila eneo na kila secta,Ni Chama kilicholeta matumaini na matokeo chanya kwenye maisha ya watu,ni chama kilicholeta mapinduzi ya kiuchumi.
Hata kama ni mnufaika wa mfumoo... Acha use.ngeMuulize baba yako anajua Tanzania imetoka wapi na ipo wapi watoto wadogo mna ujuha mwingi sana.
Vijana mmechanganyikiwaHata kama ni mnufaika wa mfumoo... Acha use.nge