blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Kojoa ulale..Vijana mmechanganyikiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kojoa ulale..Vijana mmechanganyikiwa
Unatakiwa uangalie wapi ulitakiwa uwepo sasa, sio ulitoka wapi.tumetoka mbali sana hujui kitu wewe
Acha ujinga we jamaa.....Kwa hiyo kwa akili yako finyu ukiingalia Tanzania ya leo unaona inafanana na ile ya mwaka 61? Maendeleo ya Elimu,huduma za afya , miundombinu,hali ya kipato cha mwananchi mmoja mmoja unaona kinafanana na kile cha 61 wakati tunapata uhuru? Embu niambie wakati tunapata uhuru tulikuwa na shule bgaia za sekondari pamoja na vyuo vikuu na leo tunavyo vingapi? Embu niambie wakati tunapata uhuru tulikuwa na barabara ngapi za lami na leo zipo ngapi? Embu niambie tulikuwa na madaktari na wahandisi wangapi na leo tupo nao wangapi? Embu niambie tulikuwa na vituo vya afya vingapi na leo vipo vingapi? Embu niambie tulikuwa na wasomi wa vyuo vikuu wangapi waliomaliza kila mwaka na leo tunaona wangapi? Embu bibie hali ya kipato cha wananchi cha leo ni sawa na cha 61? Vipi kuhusu makazi ya watu na ubora wake unaona yanafanana na yale ya 1961? Embu niambie ulikuwa unatumia siku ngapi kutoka mkoani kutoka mikoani mpaka kufika Dar na leo muda gani inatumika? Vipi barabara za kuunganisha mikoa kwa mikoa na wilaya kwa wilaya ngapi zilikuwa zimeunganishwa? Leo zipo ngapi?
Acha mibangi kuvuta wakati hata akili yako yenyewe haipo sawa. CCM Ni chama kilichoifayia makubwa sana nchi yetu,ni chama kilicholeta maendeleo kila eneo na kila secta,Ni Chama kilicholeta matumaini na matokeo chanya kwenye maisha ya watu,ni chama kilicholeta mapinduzi ya kiuchumi.
Hii ndio point.Unatakiwa uangalie wapi ulitakiwa uwepo sasa, sio ulitoka wapi.
Kawaambie Hawa kwamba imefeli 😂❣️🤣Miaka 60 ya uhuru ni jambo gani ambalo ccm wanaweza kujivunia wamelifanya na ku accomplish angalau kwa asilimia 60%.
Wale maadui watatu waliotangazwa na Baba wa Taifa ujinga, maradhi na Umaskini vyote viko pale pale.
Umee bado ni kero licha ya kuwepo kwa vyanzo vingi vya uzalishaji.
Tuna ardhi na mito, maziwa na bahari lakini wananchi wetu bado wanashida sana na maji.
Kwenye Elimu wanaofanya vizuri ni watoto wa vigogo wanaosomea shule za wenye nazo.
Kwa hiyo unafikiri hivyo vitu vinabadilishwa kirahisi kama kubadilisha laini ya simu? Unafahamu na unayo teknolojia na kuweza kumudu gharama ya kuchimba Rasilimali kama gas kutoka ilipo? Unafikiri gharama zake ni sawa na kununua ice cream?Acha ujinga we jamaa.....
Hivi kwa rasilimali zilizopo Tanzania na hayo maendeleo unayosema tunayo vinalingana?. Tunavitu vingi sana ila ccm imeshindwa kuvibadilisha ili taifa linufaike matokeo yake wananufaika wachache...
Ukiwa na akili timamu utagundua kuwa mwaka fulani tulikua uchumi sawa na China ila angalia China ipo wapi na sisi tupo wapi..
CCM imefeli kwa kila kitu
Tunajua sio rahis Kaka Lucus lakini kwa nini Gesi imepotea mazima leo hii serikali haizungumzii tena Uchumi wa GesiKwa hiyo unafikiri hivyo vitu vinabadilishwa kirahisi kama kubadilisha laini ya simu? Unafahamu na unayo teknolojia na kuweza kumudu gharama ya kuchimba Rasilimali kama gas kutoka ilipo? Unafikiri gharama zake ni sawa na kununua ice cream?
Uko sahihi huwezi kuwa una miliki Madini then ukajenga nyumba ya Udongo only kuja kujipa moyo kwamba angalau una nyumva ya udongo maana huko nyuma hukuwa na kitu kabisa.....Value for wealth lazima ionekane.Unatakiwa uangalie wapi ulitakiwa uwepo sasa, sio ulitoka wapi.
Wanaoshangilia hapo ni kina nani?Hao wanakula perdiem yao wanawaacha wananchi na shida zao zile zile za umeme, maji, barabara na Kilimo hafifu.
Wanawaona nyani tuWanaoshangilia hapo ni kina nani?
Naunga mkono hoja ✔️!! Anaepinga aje hapa na facts nasi tutakuja na open facts!!Miaka 60 ya uhuru ni jambo gani ambalo ccm wanaweza kujivunia wamelifanya na ku accomplish angalau kwa asilimia 60%.
Wale maadui watatu waliotangazwa na Baba wa Taifa ujinga, maradhi na Umaskini vyote viko pale pale.
Umee bado ni kero licha ya kuwepo kwa vyanzo vingi vya uzalishaji.
Tuna ardhi na mito, maziwa na bahari lakini wananchi wetu bado wanashida sana na maji.
Kwenye Elimu wanaofanya vizuri ni watoto wa vigogo wanaosomea shule za wenye nazo.
Mbali wap wewe?tumetoka mbali sana hujui kitu wewe
Unaonekana kbs unaish kwa kukaririshwa!! Hayo uliyoanisha hayakupaswa hata kujivunia hasa kwa rasilimali zilizopo Tanzania, yaan tulipaswa tujivunie maendeleo! Kama ungekua na akili vzr ungejiuliza Tanzania ina rasilimali za kila aina lkn ipo ktk lindi la umasikin wa kutupwa na ni kwann?Kwa hiyo kwa akili yako finyu ukiingalia Tanzania ya leo unaona inafanana na ile ya mwaka 61? Maendeleo ya Elimu,huduma za afya , miundombinu,hali ya kipato cha mwananchi mmoja mmoja unaona kinafanana na kile cha 61 wakati tunapata uhuru? Embu niambie wakati tunapata uhuru tulikuwa na shule bgaia za sekondari pamoja na vyuo vikuu na leo tunavyo vingapi? Embu niambie wakati tunapata uhuru tulikuwa na barabara ngapi za lami na leo zipo ngapi? Embu niambie tulikuwa na madaktari na wahandisi wangapi na leo tupo nao wangapi? Embu niambie tulikuwa na vituo vya afya vingapi na leo vipo vingapi? Embu niambie tulikuwa na wasomi wa vyuo vikuu wangapi waliomaliza kila mwaka na leo tunaona wangapi? Embu bibie hali ya kipato cha wananchi cha leo ni sawa na cha 61? Vipi kuhusu makazi ya watu na ubora wake unaona yanafanana na yale ya 1961? Embu niambie ulikuwa unatumia siku ngapi kutoka mkoani kutoka mikoani mpaka kufika Dar na leo muda gani inatumika? Vipi barabara za kuunganisha mikoa kwa mikoa na wilaya kwa wilaya ngapi zilikuwa zimeunganishwa? Leo zipo ngapi?
Acha mibangi kuvuta wakati hata akili yako yenyewe haipo sawa. CCM Ni chama kilichoifayia makubwa sana nchi yetu,ni chama kilicholeta maendeleo kila eneo na kila secta,Ni Chama kilicholeta matumaini na matokeo chanya kwenye maisha ya watu,ni chama kilicholeta mapinduzi ya kiuchumi.