CCM ilishafeli kitambo sana sema hawataki Kukubali tu

Acha ujinga we jamaa.....

Hivi kwa rasilimali zilizopo Tanzania na hayo maendeleo unayosema tunayo vinalingana?. Tunavitu vingi sana ila ccm imeshindwa kuvibadilisha ili taifa linufaike matokeo yake wananufaika wachache...


Ukiwa na akili timamu utagundua kuwa mwaka fulani tulikua uchumi sawa na China ila angalia China ipo wapi na sisi tupo wapi..

CCM imefeli kwa kila kitu
 
Kawaambie Hawa kwamba imefeli 😂❣️🤣

View: https://youtu.be/UO2Oah8no8Q?si=Kubtkpe0QfyrFW3u
 
Kwa hiyo unafikiri hivyo vitu vinabadilishwa kirahisi kama kubadilisha laini ya simu? Unafahamu na unayo teknolojia na kuweza kumudu gharama ya kuchimba Rasilimali kama gas kutoka ilipo? Unafikiri gharama zake ni sawa na kununua ice cream?
 
Kwa hiyo unafikiri hivyo vitu vinabadilishwa kirahisi kama kubadilisha laini ya simu? Unafahamu na unayo teknolojia na kuweza kumudu gharama ya kuchimba Rasilimali kama gas kutoka ilipo? Unafikiri gharama zake ni sawa na kununua ice cream?
Tunajua sio rahis Kaka Lucus lakini kwa nini Gesi imepotea mazima leo hii serikali haizungumzii tena Uchumi wa Gesi
 
Unatakiwa uangalie wapi ulitakiwa uwepo sasa, sio ulitoka wapi.
Uko sahihi huwezi kuwa una miliki Madini then ukajenga nyumba ya Udongo only kuja kujipa moyo kwamba angalau una nyumva ya udongo maana huko nyuma hukuwa na kitu kabisa.....Value for wealth lazima ionekane.
 
Naunga mkono hoja ✔️!! Anaepinga aje hapa na facts nasi tutakuja na open facts!!
 
Unaonekana kbs unaish kwa kukaririshwa!! Hayo uliyoanisha hayakupaswa hata kujivunia hasa kwa rasilimali zilizopo Tanzania, yaan tulipaswa tujivunie maendeleo! Kama ungekua na akili vzr ungejiuliza Tanzania ina rasilimali za kila aina lkn ipo ktk lindi la umasikin wa kutupwa na ni kwann?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…