jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Kumekuwa na tabia mbaya ya baadhi ya wanasiasa kutoa taarifa za uingo ili kujipa kiki au kutaka kujenga hoja kwa maslahi binafsi. Madiwani wengi na wabunge wengi walizoea kufanya hivi.
Mifano kama iliyotokea Mbeya ni tip of the Iceberg yaani kwenye mikutano ya kisiasa wapo baadhi ya wanasiasa huandaa waliaji wa kukodi, wapiga makofi na wapandisha munkari na mizuka wote hawa huandaliwa kushinikiza jambo flani sometimes sio la kweli.
Ili kuwaweka sawa na kuondokana na siasa chafu inabidi tuanze utaratibu wa kuwawajibisha ipasavyo sambamba na vyombo vya habari vinavyotumiwa.