CCM imchunguze diwani wa Ifumbo kwa kutoa taarifa za uongo

CCM imchunguze diwani wa Ifumbo kwa kutoa taarifa za uongo

Nyie wajinga mnasema Corona hakuna halafu kelele zikizidi mnasema ipo kidogo nani atawaamini?

Unasema taarifa za uongo wewe kama nani? wacheni kuwafundisha watu uoga, mtawaangamiza watanzania kwa u-jingalao wenu.
Kwani Corona hadi uambiwe ipo au haipo?
 
Kumekuwa na tabia mbaya ya baadhi ya wanasiasa kutoa taarifa za uingo ili kujipa kiki au kutaka kujenga hoja kwa maslahi binafsi. Madiwani wengi na wabunge wengi walizoea kufanya hivi.

Mifano kama iliyotokea Mbeya ni tip of the Iceberg yaani kwenye mikutano ya kisiasa wapo baadhi ya wanasiasa huandaa waliaji wa kukodi, wapiga makofi na wapandisha munkari na mizuka wote hawa huandaliwa kushinikiza jambo flani sometimes sio la kweli.

Ili kuwaweka sawa na kuondokana na siasa chafu inabidi tuanze utaratibu wa kuwawajibisha ipasavyo sambamba na vyombo vya habari vinavyotumiwa.
Unaujua uongo.
Umefika kwenye iyo kata au na ww unatafuta kiki za Heshima.
 
Back
Top Bottom