Tunawafahamu nyie kijani ni kiwanda cha uongo,anayesema kweli kwenu ni adui,ila anayesema uongo wenye maslahi ukwenu yeye ni zaidi ya rafiki.sijui huo ni utamaduni gani mpya kwenu.Kumekuwa na tabia mbaya ya baadhi ya wanasiasa kutoa taarifa za uingo ili kujipa kiki au kutaka kujenga hoja kwa maslahi binafsi.madiwani wengi na wabunge wengi walizoea kufanya hivi...
mkuu hili sio la chama kimoja bali vyama vyote vya siasa.Zitto aliwahi kutaka Rais atangaze njaa kama janga la kitaifa.Acha vitisho vya kijinga watu wanaposema ukweli. Japo ni kweli ccm wana hiyo tabia ya kuwapanga watu ili kupotosha umma. Kwa mfano sasa hivi kila anayeongea kwenye vyombo vya habari, anasema Magufuli anakubalika sana na wananchi jambo ambalo sio kweli.
Kwahiyo anakubalika ila sio sana au hakubaliki kabisa?Acha vitisho vya kijinga watu wanaposema ukweli. Japo ni kweli ccm wana hiyo tabia ya kuwapanga watu ili kupotosha umma. Kwa mfano sasa hivi kila anayeongea kwenye vyombo vya habari, anasema Magufuli anakubalika sana na wananchi jambo ambalo sio kweli.
Kwahiyo anakubalika ila sio sana au hakubaliki kabisa?
mkuu hili sio la chama kimoja bali vyama vyote vya siasa.Zitto aliwahi kutaka Rais atangaze njaa kama janga la kitaifa.
Serikali ya waongo eti!?Kwani ilikuwa uongo? Mbona sasa hivi serikali inatangaza kuwa kuna viwanda 8,000+, halafu wakati huo huo waziri Mkuu anasema hakuna ajira vijana wajiajiri? Kama kuna viwanda elfu nane kweli iweje watu wasiwe na ajira, na nchi yetu isiitwe nchi ya viwanda?
kiwanda kimoja kinaajiri watu wangapi?Kwani ilikuwa uongo? Mbona sasa hivi serikali inatangaza kuwa kuna viwanda 8,000+, halafu wakati huo huo waziri Mkuu anasema hakuna ajira vijana wajiajiri? Kama kuna viwanda elfu nane kweli iweje watu wasiwe na ajira, na nchi yetu isiitwe nchi ya viwanda?
Kumekuwa na tabia mbaya ya baadhi ya wanasiasa kutoa taarifa za uingo ili kujipa kiki au kutaka kujenga hoja kwa maslahi binafsi. Madiwani wengi na wabunge wengi walizoea kufanya hivi. Mifano kama iliyotokea Mbeya ni tip of the Iceberg...yaani kwenye mikutano ya kisiasa wapo baadhi ya wanasiasa huandaa waliaji wa kukodi, wapiga makofi na wapandisha munkari na mizuka wote hawa huandaliwa kushinikiza jambo flani sometimes sio la kweli.
Ili kuwaweka sawa na kuondokana na siasa chafu inabidi tuanze utaratibu wa kuwawajibisha ipasavyo sambamba na vyombo vya habari vinavyotumiwa.
Kwake yeye taarifa za uongo ni zile asizopenda kusikia. Huyu hata ukimwambia kuna Corona atakwambia ni uongo.Unaweza kuthibitisha ya kwamba alitoa taarifa za uongo?
Uchunguzi wa awali upi?Huu wa serekali ya giza?Kati ya mganga mkuu ambae alishuhudia vifo kwa macho yake katika hospitali yake na wachunguzi wa kinafiki waliotokea Dar na Dodoma ni yupi wa kumwamini?Alisema waliokufa ni 15 lakini uchunguzi wa awali umeonesha ni wa5