Uchaguzi 2020 CCM imechokwa na Watanzania tuache utani kabisa

sijaelewa unachotaka kusema hapa in connection to my post
 
Kwa akili yako unafikiri hao watendaji serikalini ni CCM kweli au wanalinda ajira zao tu. Kikipata chama chochote hao hao wanageuka kuwa chama tawala.

Kitu chengine ni kuwa ikiwa CCM watatoka kwa uzembe wa utendaji basi wakirudi tena watarudi na adabu zao. Shubiri nayo huonjwa, Waswahili wanasema.
 
sijaelewa unachotaka kusema hapa in connection to my post
Ccm hawana idadi hiyo ya wanachama na watanzania idadi yao ya jumla ya estimated 60 million ni ya wote, sasa refer your post. If you won't understand then you won't understand it completely.
 
Ccm hawana idadi hiyo ya wanachama na watanzania idadi yao ya jumla ya estimated 60 million ni ya wote, sasa refer your post. If you won't understand then you won't understand it completely.
ok nimekupata,swali dogo,je watoto wetu pia ni watanzania ?
 
Kwanza watendaji hawapaswi kuwa wanachama wa chama chochote,ni bahati mbaya tu kuwa tuna kiongozi msomi ila ambaye hajaelimika na ambaye pia ni mwanasiasa uchwara ndo maana anajaribu kuichanganya serikali na chama.ila for civilized people kuna tofauti kubwa kati ya serikali na chama
 
Nani kakwambia watendaji hawapaswi.kuwa mwanachama wa chama chochote kookote.kule duniani? Kinachokatazwa kwa watendaji ni kuonesha upendeleo katika maamuzi yao juu ya chama kimoja na kukandamiza chengine na kuwa active katika siasa. Wako waliokuwa hawatakiwi kuwa wanachama kama majaji,, vyombo vya ulinzi na usalama, na wengine kama hao.
 
Kama hii ni kweli kusingekuwa na machafuko ya kisiasa.
 
Brother Nafikiri hoja ya ugonjwa si sahihi mtu yyte anaweza umwa wakati wwte na mahali popote . Kuumwa kwa mtu hakutokani na imani yake, kabila Lake, itikadi yake ya Siasa nk. Pili swala la Viongozi wazee serikali yyte Duniani haikosi kuwa na wazee hata nyumbani kwenu naamini kuna wazee. lazima watoe ushauri kwa vijana, wazee ni tunu ya Taifa bila kujalisha ni chama gani ndio mana kuna na vijana pia ktk ngzi za uongozi serikali. Ukinitolea mf wa Nchi Duniani ambayo haina Viongozi wazee kabisa ntakubaliana na hoja yako otherwise hoja yako sio sahihi.
 
hicho chama kwisha
 
Labda nikuulize tu.nani mmliki wa serikali kati ya chama cha siasa na wananchi,Pili tunaposema watendaji tunamaanisha nini? Je ni makatibu wakuu,wakurugenzi,wakuu wa idara,engineers,doctors,lawyers etc au?
 
Watanzania gani hao unaowazungumza hapa? Naona kama mmechanganyikiwa sasa. NOT TRUE!
 
2020 mkiiba kura wananchi tutatafuta njia yoyote mbadala ya kuiondoa ccm for once and for all.

Mark my words.
 
Unajua kubaki njia kuu inahitaji moyo wa kipekee,kwa sasa hata wakifanya nini michepuko lazima
 


UMEONGEA KWELI TUPU MKUU,NATOA WITO KWA WANANCHI WENGINE WALIOPO KWENYE JUKWAA HILI WAWE WANAPOST MAKALA YA KUJENGA NCHI YETU NA KUIKOMBOA NCHI YETU KAMA MAKALA HII.UTAPATA THAWABU KWA MUNGU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…