Ccm ingekuwa inakufa unadhani viongozi wenu matata wangehamia ccm kwenda kumuunga mkono Magufuli..isingetokea..ungesema chadema inakufa sababu viongozi wengi wameihama ningekuelewa..au ume confuse jombaa..!! Narudia tena..asilimia 90ya watanzania wapo nyuma ya Magufuli..wewe na mmeo na watoto ndio labda mpo kwenye asilimia 10iliyobaki..hapo mnajiona kama mko weeeengi vile..eti eeh..!! Hahahah
and vice versaCcm haiwezi kutolewa madarakani na wahuni.
Hakuna Mhuni anayewazidi Ccm Dunia Hii, tumewachokaCcm haiwezi kutolewa madarakani na wahuni.
Huo ndiyo Ukweli mkuu, na kuna hatari hii nguvu kubwa wanayoitumia kulazimisha kutawala, Kuna Siku watakuja kukimbia na Pesa zote za Nchi Hii.CCM ishaondolewa madarakani kitambo sana ila inawatawala watanzania kwa mabavu.
Labda huyu anaweza kuja kubadili Mambo, Japokuwa bado Nina wasiwasi na CCM,View attachment 1115988
Kazi na Bata[emoji1321]♂️
Sijakuelewa mkuu au inawezekana haujanielewaWatanzania gani hao unaowazungumza hapa? Naona kama mmechanganyikiwa sasa. NOT TRUE!
Wewe una miaka mingapi?Vijana wengi sahv tunamkubali Magu, CHADEMA walijiua wenyewe