Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Ni wazi,
bila CCM mambo hayanogi.
Halafu muhimu zaidi sasa,
kila wawakilishi wa CCM wakipata fursa ya kuzungumza, nyoyo za hadhira na wadau wote wa kongamano husika zinaongoka na kutakasika kabisa.
Kila mdau katika kongamano anatamani kuskia kiongozi wa CCM atasema nini. Na viongozi wawakilishi wa CCM wasivyo na nongwa, hawabahatishi, wanapiga mule mule kwenye mshono.
Ni wazi,
wanasiasa wa vyama vyote vya siasa nchini, wanaharakati na waamini wa madhehebu yote ya dini, wameweka matumaini na matarajio yao kwa CCM katika masuala ya maridhiano, katiba mpya, umoja, amani ulinzi na usalama wa waTanzania wote
Well done Chama Cha Mapinduzi. waTanzania wote sasa wanaunga mkono ilani ya uchaguzi ya CCM @2025🐒
Mungu Ibariki Tanzania