πNi wazi,
bila CCM mambo hayanogi.
Halafu muhimu zaidi sasa,
kila wawakilishi wa CCM wakipata fursa ya kuzungumza, nyoyo za hadhira na wadau wote wa kongamano husika zinaongoka na kutakasika kabisa.
Kila mdau katika kongamano anatamani kuskia kiongozi wa CCM atasema nini. Na viongozi wawakilishi wa CCM wasivyo na nongwa, hawabahatishi, wanapiga mule mule kwenye mshono.
Ni wazi,
wanasiasa wa vyama vyote vya siasa nchini, wanaharakati na waamini wa madhehebu yote ya dini, wameweka matumaini na matarajio yao kwa CCM katika masuala ya maridhiano, katiba mpya, umoja, amani ulinzi na usalama wa waTanzania wote
Well done Chama Cha Mapinduziπ
Mungu Ibariki Tanzania
Chama Cha Mafisadi kiko mbioni kusambaratika.hebu wafafanulie wadau wa JF kwa kina kirefu zaidi kuhusu hiyo nahau gentleman na itapendeza zaidi π
Punguza kunywa Wanzuki asubuhi asubuhiNi wazi,
bila CCM mambo hayanogi.
Halafu muhimu zaidi sasa,
kila wawakilishi wa CCM wakipata fursa ya kuzungumza, nyoyo za hadhira na wadau wote wa kongamano husika zinaongoka na kutakasika kabisa.
Kila mdau katika kongamano anatamani kuskia kiongozi wa CCM atasema nini. Na viongozi wawakilishi wa CCM wasivyo na nongwa, hawabahatishi, wanapiga mule mule kwenye mshono.
Ni wazi,
wanasiasa wa vyama vyote vya siasa nchini, wanaharakati na waamini wa madhehebu yote ya dini, wameweka matumaini na matarajio yao kwa CCM katika masuala ya maridhiano, katiba mpya, umoja, amani ulinzi na usalama wa waTanzania wote
Well done Chama Cha Mapinduzi. waTanzania wote sasa wanaunga mkono ilani ya uchaguzi ya CCM @2025π
Mungu Ibariki Tanzania
Anguko linakuja soon, kitu pekee kinachonipa imani hiyo ni kwamba hata machawa wa ccm moyoni mnakili kuwa yanayotendeka ni uovu but hamuwezi sema waziwazi sababu ya njaa na woga tu.hiyo ni ndoto nyevu gentleman
Gentleman,Anguko linakuja soon, kitu pekee kinachonipa imani hiyo ni kwamba hata machawa wa ccm moyoni mnakili kuwa yanayotendeka ni uovu but hamuwezi sema waziwazi sababu ya njaa na woga tu.
Maana Kule UVCCM viapo vinajieleza kuwa chochote kitakachofanywa na kiongozi kiwe kizuri au kibaya ni kumlinda na kumtetea tu.
Hii inatokea ndani kabisa ya kizimkazi.Gentleman,
hii ramli umepigiwa na mganga wa Tanga au Sumbawanga ?
Basi ni bora mkatangaza kufuta mfumo wa vyama vingi, turudi miaka ya 50 kweusi maana fair groud imewashinda.Relax bas,
CCM ni alpha na Omega kwenye siasa za Tanzania, full stop. π
Gentleman,Basi ni bora mkatangaza kufuta mfumo wa vyama vingi, turudi miaka ya 50 kweusi maana fair groud imewashinda.