Veteran Sailor
JF-Expert Member
- May 28, 2025
- 2,042
- 4,416
Mngefuata katiba msingekandamiza uhuru wa maoni..Gentleman,
hakuna wa kutangaza wala kufuata utaratibu wowote ule wa kikatiba nchini.
Masuala ya kisiasa, kijamii na kiuchumi yanaendelea kufanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na si vinginevyo.🐒
Ni wazi,
bila CCM mambo hayanogi.
Halafu muhimu zaidi sasa,
kila wawakilishi wa CCM wakipata fursa ya kuzungumza, nyoyo za hadhira na wadau wote wa kongamano husika zinaongoka na kutakasika kabisa.
Kila mdau katika kongamano anatamani kuskia kiongozi wa CCM atasema nini. Na viongozi wawakilishi wa CCM wasivyo na nongwa, hawabahatishi, wanapiga mule mule kwenye mshono.
Ni wazi,
wanasiasa wa vyama vyote vya siasa nchini, wanaharakati na waamini wa madhehebu yote ya dini, wameweka matumaini na matarajio yao kwa CCM katika masuala ya maridhiano, katiba mpya, umoja, amani ulinzi na usalama wa waTanzania wote
Well done Chama Cha Mapinduzi. waTanzania wote sasa wanaunga mkono ilani ya uchaguzi ya CCM @2025🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,Mngefuata katiba msingekandamiza uhuru wa maoni..
Upinzani wa leo hauna discipline na ndio maana hata wao kwa wao wanachukiana kama wapinzani.Kwa nini isiwe talk of the day wakati wao ndio wanatawala.Na nyie mnaoombea anguko hilo haliji. Namsifu sana Mzee Wasira,anaongea mambo yaliyoonyooka.Kwanza hebu jamani jaribuni kuwaza hao wanaotaka eti kushika dola aina ya watu kama akina Heche, kwa kweli Mungu wa mbinguni aturehemu. CCM bado ipo na itakuwepo kama mtaendelea kuwa na watu wa sampuli hii eti ndiyo wapinzani. Nakumbuka wakati fulani enzi za nyma huko Mwalimu akiwepo kulikuwa na upinzani motomto, lakini alivyowapima wapinzani na muelekeo wao, Mwalimu alitoa kauli akasema hatuwezi kuachia nchi kwa Ma-mbwa.
Hiyo hapondio kitu gani hiyo gentleman?
Kwa faida ya wadau wa Jf, unaweza kuielezea kwa kifupi japo haihusiani na hoja mahususi mezani?🐒
hii sio busah?Hiyo hapo
View attachment 3666698
Mungu angekuwa na ccm kusingekuwa na haja ya wizi wa kura kama alivyoeleza mwana ccm Nape.i think God is with CCM and those who are against CCM, are satan families gentleman
God does not dwell among the wicked and murderersi think God is with CCM and those who are against CCM, are satan families gentleman
Kanisa, Msikiti, Sinagogi, Hekalu au nyumba yoyote ya Ibada wataacha kumuongelea Shetani baada ya Kiama.Ni wazi,
bila CCM mambo hayanogi.
Halafu muhimu zaidi sasa,
kila wawakilishi wa CCM wakipata fursa ya kuzungumza, nyoyo za hadhira na wadau wote wa kongamano husika zinaongoka na kutakasika kabisa.
Kila mdau katika kongamano anatamani kuskia kiongozi wa CCM atasema nini. Na viongozi wawakilishi wa CCM wasivyo na nongwa, hawabahatishi, wanapiga mule mule kwenye mshono.
Ni wazi,
wanasiasa wa vyama vyote vya siasa nchini, wanaharakati na waamini wa madhehebu yote ya dini, wameweka matumaini na matarajio yao kwa CCM katika masuala ya maridhiano, katiba mpya, umoja, amani ulinzi na usalama wa waTanzania wote
Well done Chama Cha Mapinduzi. waTanzania wote sasa wanaunga mkono ilani ya uchaguzi ya CCM @2025🐒
Mungu Ibariki Tanzania
MENE, MENE, TEKELI, NA PARSINok,
calm down then gentleman with your useless gossiping and it will be more interesting, right?
kwa hapa duniani,Kanisa, Msikiti, Sinagogi, Hekalu au nyumba yoyote ya Ibada wataacha kumuongelea Shetani baada ya Kiama.
Usalama wa ccm hautoshi mkuu ndio maana Mwaipopo alisaidia hayo majukumu ya ulinzi kwa kuunda jeshi lake.kwa hapa duniani,
wote hao wanamuamini mno CCM ambae ndie anafanya kazi kubwa kuhakikisha ibada zao zinafanyika kwa usalama wakati wote