CCM imeendelea kua talk of the day katika kila kongamano la kisiasa nchini.

Mwaipopo wa Tanzania ambaye juzi hapa aliitwa na waziri wa mambo ya ndani wa Tanzania.
ok,
kumbe ni raia mwenzetu wa Tanzania tu. Sidhani kama kuna tatizo hata wwe tu ukiitwa na waziri wa Tanzania mkazungumza 🐒
 
Kwamba na mimi nikiunda jeshi kinyume cha sheria kama Mwaipopo kwamba nami nitaishia kuitwa tu kwa waziri na kupewa elf 50 juu? Mwaipopo sio raia wa kawaida kama mimi mkuu.
 
unda tu,
mbona kuna chama cha siasa kina wanachama makamanda watu halafu waoga kichizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…