Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Miaka ya Magufuli akiwa primary na secondary elimu ya shule za kitaifa ilikuwa bora kama au zaidi ya private.Hapo ndipo unajua umuhimu wa shule za English Medium
Yeye alisoma za kawaida za kayumba
Sio hao karibuni kaibuka na waziri Jenista Mhagama naye kingereza hakipandiDr. Magufuli, Dk. Ndalichako wamesoma kwa Kiingereza kwa zaidi ya miaka 16 na wanetoka kappa.
Hao
Primary alisoma kiswahili medium shida ni hapoMiaka ya Magufuli akiwa primary na secondary elimu ya shule za kitaifa ilikuwa bora kama au zaidi ya private.
Lakini pia Magufuli O level kasoma seminary mpaka alipofukuzwa kwa kosa la uzinzi form 2
Hapana.Kujua Kiingereza kunataka mazoezi ya kukitumia.
Tanzania watu wanaongea Kiingereza nje ya hizo shule?
Suruhisho ni nini?Hili nalo nilakujiuliza wakati majibu yako wazi.
Unajifunza usiyoyajua kwa lugha usiyoijua, hapo hakuna miujiza ni kukariri tu. Sasa unategemea mtu aliye kariri akashindane kimataifa?
Suruhisho ni,
Tuwafunze watu wetu kwa lugha wanayoielewa, hii itawasaidia kujua wanachojifunza ila wajifunze kingereza kama lugha kama wanavyojifunza watu huko mitaani na wanakuwa na uwezo wa kuizungumza lugha ya kingereza kuliko wahitimu wa vyuo.
Usitegemee kwa mazingira haya ambayo watu hawazungumzi kiswahili fasaha eti wakawe wazungumzaji wa kingereza fasaha huo ni uongo labda itokee miujiza.
Kama unataka kuingia kwenye uchumi wa dunia Kiingereza hakiepukiki.Hapana.
Halafu hoja yangu Hawa wasiojua kiingereza (Jaji Mkuu alisema mawakili wengi hawajui kiingereza) Wana weledi kwenye taaluma zao?
Inakuwaje tutumie miaka kumi kufundishia wasomi wetu maarifa kwa lugha wasiyoimudu?
Halafu jee wakijifunza kwa kiingereza wanapokuja kwenye jamii huku mitaani hutumia Kiingereza kuwasiliana na jamii?
Hitimisho. Lugha ni nyenzo ya kupatia maarifa ingawa lugha yenyewe siyo maarifa. Sasa jee Kuna ulazima wa kutumia Kiingereza kutafutia maarifa?
Na suluhisho ni kuwa kama jamii tunawezaje kuwa na wasomi wenye Elimu na siyo wasomi waliofaulu mitihani pekee.Suruhisho ni nini?
Sawa. Na Mimi nakubaliana nawe. Lakini kwenye kitabu nilichoweka hapo juu " Language Crisis in Tanzania..." Waandishi wana hoja kubwa Sana.Kama unataka kuingia kwenye uchumi wa dunia Kiingereza hakiepukiki.
Kama unataka kujifungia Chanika na nduguzo hata Kizaramo unaweza kutumia.
Katika ulimwengu unaojichanganya kimataifa ukijifungia ndani ushapotea.Sawa. Na Mimi nakubaliana nawe. Lakini kwenye kitabu nilichoweka hapo juu " Language Crisis in Tanzania..." Waandishi wana hoja kubwa Sana.
Wanauliza Kila msomi wetu atahitaji kuwa na weledi wa kiingereza? Hoja yao jee ni watanzania wasomi wangapi watakutana na mazingira ya kuwalazimisha kutumia Kiingereza kuwasiliana.
Na kwenye kitabu hicho wameweka tafiti mbali mbali kuonesha kuwa si kweli kuwa ni lazima wasomi wetu wote wajue kiingereza ili wapate maarifa na kuyatumia maarifa hayo kwa jamii.
Yaan mwalimu ana 4 ya mwshoni, aje anifundishe nijue unge vizuri kabsaaa🙄Moderator hii ni hoja ya kisiasa msiigeuze ya lugha.
Suala la Elimu ya nchi hii kuwa ya kiwango cha juu ama cha chini ni la mjadala.
Lakini kiwango cha usomi wa wasomi wetu si mjadala unaotakiwa kuahirishwa.
Hivi wasomi wetu tunawapimaje, kwa nini wasomi wetu linapokuja suala la ushindani na wasomi wa nchi nyingine linakuja suala la udhaifu wa wasomi wetu kutokuwa na weledi wa matumizi ya lugha ya kiingereza?
Hivi Elimu yetu ni duni ama wasomi wetu ni weledi ila hawajui lugha ya kiingereza kwa ufasaha?
Kama hawajui kiingereza kwa ufasaha imekuwaje walifaulu mitihani yao kwa kiwango cha juu?
Yaani lugha inayotumiwa kujifunzia kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita (miaka 6) na vyuoni (miaka 3 - 4 au miaka 7) wasomi wetu inakuwaje hawana weledi nayo?
Kuna sehemu CCM wameharibu Elimu yetu ila wanasingizia kiingereza.
Yes. Hii hoja ya kujifungia ndani ni ya kinadharia zaidi. Wachina wanaipelekesha Dunia kiteknolojia na kiuchumi. Jee unadhani ni asilimia ngapi ya wasomi wachina wanaotumia kiingereza kujifunzia na kuwasiliana?Katika ulimwengu unaojichanganya kimataifa ukijifungia ndani ushapotea.
Yes. Hii hoja ya kujifungia ndani ni ya kinadharia zaidi. Wachina wanaipelekesha Dunia kiteknolojia na kiuchumi. Jee unadhani ni asilimia ngapi ya wasomi wachina wanaotumia kiingereza kujifunzia na kuwasiliana?
Kwa takwimu ni kama wachina milioni 10-25 ndiyo wanaotumia kiingereza kuwasiliana kati ya wachina bilioni Moja na milioni mia nne, sawa na asilimia kama tatu na kidogo.
Kuna nini kitatokea kama Kiingereza iwe somo la lugha inayotiliwa mkazo halafu kiswahili ikawa ndiyo lugha ya kufundishia?
Hakuna mahali nimeoneaha shaka ama kusema watu wasijifunze kiingereza.
Wachache sana. Watanzania hawana uthubutu huoHao ni wengi tu
Nakubaliana na hoja yako. Kweli tusilinganishe visivyolingana.Usilinganishe Tanzania na China.
Kenya is more outwardly looking than Tanzania. English is a big part of that.Nakubaliana na hoja yako. Kweli tusilinganishe visivyolingana.
Kwa mfano Kenya wanachama cha waalimu kinaitwa Kenya National Teachers Union (KNUT) na Tanzania tuna Chama cha waalimu Tanzania (CWT)
Hivi ni vyama viwili vya kitaaluma vya aina moja. Lakini ukiangalia uwekezaji unaofanywa na KNUT ni mkubwa kuliko ule wa CWT.
Nguvu ya KNUT kwenye kusimamia maslahi ya waalimu Kenya ni kubwa kuliko nguvu ya CWT kwenye kusimamia maslahi ya waalimu Tanzania.
Jee ni kwa kuwa Kenya wanatumia kiingereza kujifunzia ndiyo maana KNUT Ina nguvu sana kuliko CWT?
Pia hoja yangu inatilia shaka kama mtu anatumia lugha kwa miaka kumi kujifunzia, halafu haimudu lugha hiyo, ni kweli anayo maarifa inayosemwa anayo?
YAWEZEKANA HATA KISWAHILI WAKAWA WANAFELI.LUGHA AMBAYO HUJAFUNDISHWA NA MAMA MZAZI SIYO MCHEZO MCHEZOModerator hii ni hoja ya kisiasa msiigeuze ya lugha.
Suala la Elimu ya nchi hii kuwa ya kiwango cha juu ama cha chini ni la mjadala.
Lakini kiwango cha usomi wa wasomi wetu si mjadala unaotakiwa kuahirishwa.
Hivi wasomi wetu tunawapimaje, kwa nini wasomi wetu linapokuja suala la ushindani na wasomi wa nchi nyingine linakuja suala la udhaifu wa wasomi wetu kutokuwa na weledi wa matumizi ya lugha ya kiingereza?
Hivi Elimu yetu ni duni ama wasomi wetu ni weledi ila hawajui lugha ya kiingereza kwa ufasaha?
Kama hawajui kiingereza kwa ufasaha imekuwaje walifaulu mitihani yao kwa kiwango cha juu?
Yaani lugha inayotumiwa kujifunzia kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita (miaka 6) na vyuoni (miaka 3 - 4 au miaka 7) wasomi wetu inakuwaje hawana weledi nayo?
Kuna sehemu CCM wameharibu Elimu yetu ila wanasingizia kiingereza.
Hivi ukimuona Rais au kiongozi yeyote mkubwa akiwa ziarani nje ya nchi, km Marekani, akikutana na umma wa Watanzania waishio huko (diaspora), umeshawahi kujiuliza ni nani hao au walifikaje huko?Wachache sana. Watanzania hawana uthubutu huo