kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #21
chama na serikali yake vinawaogopa wananchi wake. Chama hakiwezi kuruhusu serikali kupanga wala kusafisha miji kuogopa kukosa kura. Kwenye duka la vipodozi unaweza kuuza unga au pombe kama ukitaka.Hakuna chama hapo,kilishajifia siku nyingi. Chama hakina ushawishi wa kawaida,chama kina jificha kwenye vyombo vya ulinzi na usalama,chama kinabebwa na ma DC na ma RC,chama kinabebwa na ma ded.
Chama kinaogopa ukosoaji; hamna chama Cha siasa hapo