The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
GT
CCM ina hali mbaya sana kwa kweli kinachoibeba hadi sasa ni kwamba watanzania siyo watu wa kudhubutu vinginevyo tungekuwa tuanongea mengine.
Sasa unajua CCM ikiitisha mkutano.wa hadhara bila kubeba watu kwenye malori au.kuwahonga watu hela wahudhurie mkutano ni ngumu kuwapata, kwa mantiki hiyo mkutano wa CCM huwa una gharama kubwa sasa.
Toka CCM Wagundue kuchokwa kupitiliza na wananchi wamekuwa wakijisogeza kwenye mikusanyiko ya watu maarufu au jumuiya mbalimbali kupenyeza ajenda zao Baadhi ni kama ifuatavyo.
1.Simba na Yanga zinatumika kuwatoa watu kwenye reli
2.Wasanii maarufu mfano Diamond( Wanatumika kukusanya watu na kuwalaghai)
3. Taasisi.za kidini hasa za mchongo( nawashukutu catholics wameligundua mapena hili)
4. Tamasha la bulabo mwanza na sherehe mbalimbali makabila mengine nk.
Na Wanapoenda maeneo hayo kazi yao huwa ni kuhubiri siasa zao.