CCM imepasuka, wanaCCM wengi wanaugulia moyoni. Wapinzani tuweke mikakati ya kuchukua dola

CCM imepasuka, wanaCCM wengi wanaugulia moyoni. Wapinzani tuweke mikakati ya kuchukua dola

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Kumbe hawa wanaCCM wana makundi maana sasa kundi linalotamalaki kwa ubabe wa kugawana nyadhifa ni kundi la wahuni au wenye chama chao.

Waliowekwa kando wamechukia na watalipa kisasi japokuwa sio mapa sana. Ila watalipa kisasi

Sisi wapinzani tujipange maana sasa ndio muda muafaka.
 
Hili suala la kupitisha mgombea mmoja na kukata wengine ni muendelezo wa yale yale ya uchaguzi wa 2020.
 
What do you think? Majina 71, anatakiwa mtu mmoja! Huwezi kumfurahisha kila mtu. All in all, ^Kila mbuzi kula urefu wa kamba yake^ is not worth it!
 
Ni bora mjipange kususia kuapishwa kwa Samia S Hasani na kuliko kupoteza mda. Kupasuka kwa CCM haiifanyi upinzani kuwa imara nendeni mkachunguze mnakwama wapi. Kila mtu ashinde mechi zake.
 
Back
Top Bottom