Kamanda Asiyechoka JF-Expert Member Joined Sep 13, 2020 Posts 3,315 Reaction score 5,058 Jan 20, 2022 #1 Kumbe hawa wanaCCM wana makundi maana sasa kundi linalotamalaki kwa ubabe wa kugawana nyadhifa ni kundi la wahuni au wenye chama chao. Waliowekwa kando wamechukia na watalipa kisasi japokuwa sio mapa sana. Ila watalipa kisasi Sisi wapinzani tujipange maana sasa ndio muda muafaka.
Kumbe hawa wanaCCM wana makundi maana sasa kundi linalotamalaki kwa ubabe wa kugawana nyadhifa ni kundi la wahuni au wenye chama chao. Waliowekwa kando wamechukia na watalipa kisasi japokuwa sio mapa sana. Ila watalipa kisasi Sisi wapinzani tujipange maana sasa ndio muda muafaka.
mdudu JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 7,013 Reaction score 10,000 Jan 20, 2022 #2 Wapinzani wenyewe kina ACT-CCM !
Bulamba JF-Expert Member Joined Sep 17, 2011 Posts 13,741 Reaction score 13,049 Jan 20, 2022 #3 Kamanda Asiyechoka said: Kumbe hawa wanaCCM wana makundi maana sasa kundi linalotamalaki kwa ubabe wa kugawana nyadhifa ni kundi la wahuni au wenye chama chao. Waliowekwa kando wamechukia na watalipa kisasi japokuwa sio mapa sana. Ila watalipa kisasi Sisi wapinzani tujipange maana sasa ndio muda muafaka. Click to expand... Hili suala la kupitisha mgombea mmoja na kukata wengine ni muendelezo wa yale yale ya uchaguzi wa 2020.
Kamanda Asiyechoka said: Kumbe hawa wanaCCM wana makundi maana sasa kundi linalotamalaki kwa ubabe wa kugawana nyadhifa ni kundi la wahuni au wenye chama chao. Waliowekwa kando wamechukia na watalipa kisasi japokuwa sio mapa sana. Ila watalipa kisasi Sisi wapinzani tujipange maana sasa ndio muda muafaka. Click to expand... Hili suala la kupitisha mgombea mmoja na kukata wengine ni muendelezo wa yale yale ya uchaguzi wa 2020.
Bulamba JF-Expert Member Joined Sep 17, 2011 Posts 13,741 Reaction score 13,049 Jan 20, 2022 #4 Hakuna demokrasy hapo
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 12,624 Reaction score 24,751 Jan 21, 2022 #5 What do you think? Majina 71, anatakiwa mtu mmoja! Huwezi kumfurahisha kila mtu. All in all, ^Kila mbuzi kula urefu wa kamba yake^ is not worth it!
What do you think? Majina 71, anatakiwa mtu mmoja! Huwezi kumfurahisha kila mtu. All in all, ^Kila mbuzi kula urefu wa kamba yake^ is not worth it!
Frustration JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 3,134 Reaction score 4,124 Jan 21, 2022 #6 Ni bora mjipange kususia kuapishwa kwa Samia S Hasani na kuliko kupoteza mda. Kupasuka kwa CCM haiifanyi upinzani kuwa imara nendeni mkachunguze mnakwama wapi. Kila mtu ashinde mechi zake.
Ni bora mjipange kususia kuapishwa kwa Samia S Hasani na kuliko kupoteza mda. Kupasuka kwa CCM haiifanyi upinzani kuwa imara nendeni mkachunguze mnakwama wapi. Kila mtu ashinde mechi zake.