PostGE2025 CCM imeshaanza kujiteulia wasuluhishi na wapatanishi wa mauaji ya Oktoba 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,914
Reaction score
168,320
Vyombo vya habari Namibia ikiwepo Shirika la Utangazaji Namibia (NBC) vimeripoti taarifa ya Naibu Jaji Mkuu wa Namibia kuombwa na Tanzania kujiunga katika Tume ya Uchunguzi Tanzania

Naibu Jaji Mkuu wa Namibia Petrus Damaseb ameteuliwa kuhudumu katika tume ya Rais ya uchunguzi Tanzania, itakayochunguza ghasia zilizozuka baada ya uchaguzi mkuu wa 2025 nchini Tanzania.

Ofisi ya Mhimili wa Mahakama nchini Namibia ilitangaza siku ya Jumatano kuwa Jaji Mkuu Peter Shivute alimteua Jaji Damaseb kufuatia ombi kutoka kwa Serikali ya Tanzania kwa Namibia.

Ombi la Serikali ya Tanzania kwa Serikali ya Namibia lilikuwa ni kutoa jaji anayehudumu au aliyestaafu wa Mahakama Kuu ya Namibia ili kuhudumu kwenye tume hiyo ya uchunguzi.

Tume hiyo imeundwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuchunguza vyanzo vikuu vya vurugu zilizofuata baada ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa 29 Oktoba 2025,

Ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa matukio hayo ya siku na baada ya uchaguzi zinaonyesha angalau vifo 518 vilirekodiwa, huku takriban watu 2,400 wakijeruhiwa wakati wa machafuko hayo.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo ya NBC Digital News na The Namibian inaeleza kwamba, Wajumbe wa tume hiyo ya uchunguzi wataapishwa tarehe itakayotangazwa na Serikali ya Tanzania.

The mosquito going to investigate malaria?

Nini maoni yako?
 
Nani atakubali TAKATAKA zao? Wasione wanaweza kila kitu

Hatutakuwa na maneno matupu kwanza
1. Msulihishi atoke nje ya Bara la Afrika maana hawa wotewni madikteta hakuna mwafrika atakuja awe upande wa wananchi ,
2. Tundu lissu na kesi Nyingine zoote zifutwe
3. Vyama vya siasa hewa vilivyopewa Pesa na CCM kufanya siasa uchwara vifilisiwe na watubu,
4. Tume huru ya Uchaguzi iundwe, ihusishe, kila wanachama, na ipitiwe na mahakimu au mawakili
5. Katiba mpya
6. Bunge livunjwe na uchaguzi mkuu urudiwe
 
Nini maoni yako
Msipokuwa vichaa, basi ugonjwa huo uko mbali sana!
 
Nani atakubali TAKATAKA zao? Wasione wanaweza kila kitu

Hatutakuwa na maneno matupu kwanza
1. Msulihishi atoke nje ya Bara la Afrika maana hawa wotewni madikteta hakuna mwafrika atakuja awe upande wa wananchi ,
2. Tundu lissu na kesi Nyingine zoote zifutwe
3. Vyama vya siasa hewa vilivyopewa Pesa na CCM kufanya siasa uchwara vifilisiwe na watubu,
4. Tume huru ya Uchaguzi iundwe, ihusishe, kila wanachama, na ipitiwe na mahakimu au mawakili
5. Katiba mpya
6. Bunge livunjwe na uchaguzi mkuu urudiwe
Nadhani namba 5 ndo itatimizwa

Mengne hayo hata tecdema wakiyafanya hakuna ubaya
 
Nani atakubali TAKATAKA zao? Wasione wanaweza kila kitu

Hatutakuwa na maneno matupu kwanza
1. Msulihishi atoke nje ya Bara la Afrika maana hawa wotewni madikteta hakuna mwafrika atakuja awe upande wa wananchi ,
2. Tundu lissu na kesi Nyingine zoote zifutwe
3. Vyama vya siasa hewa vilivyopewa Pesa na CCM kufanya siasa uchwara vifilisiwe na watubu,
4. Tume huru ya Uchaguzi iundwe, ihusishe, kila wanachama, na ipitiwe na mahakimu au mawakili
5. Katiba mpya
6. Bunge livunjwe na uchaguzi mkuu urudiwe
Nyinyi kama akina nani?
 
..labda wawe Majaji watatu toka nje, na wawili Watanzania.

..Na HADIDU ZA REJEA za Tume hiyo zikubaliwe na wadau wote wa siasa.

..kwa kifupi tatizo tulilotokea linahitaji MSULUHISHI WA KIMATAIFA.
 
Nani atakubali TAKATAKA zao? Wasione wanaweza kila kitu

Hatutakuwa na maneno matupu kwanza
1. Msulihishi atoke nje ya Bara la Afrika maana hawa wotewni madikteta hakuna mwafrika atakuja awe upande wa wananchi ,
2. Tundu lissu na kesi Nyingine zoote zifutwe
3. Vyama vya siasa hewa vilivyopewa Pesa na CCM kufanya siasa uchwara vifilisiwe na watubu,
4. Tume huru ya Uchaguzi iundwe, ihusishe, kila wanachama, na ipitiwe na mahakimu au mawakili
5. Katiba mpya
6. Bunge livunjwe na uchaguzi mkuu urudiwe
Sio kwa hii ccm baba, tuzidi kuomba kizazi cha 2005 hadi 2010 kikue kwa speed kali baba maajabu yanakuja 2030 baba
 
Wanaangaika sana, si alishinda kwa asilimia 90+ na walisema awakuua, sasa wanasumbuka na nini?
 
Nahisi kuna manguli wa diplomasia na utatuzi wa migogoro wanacheka kwa hizi sarakasi. Draft jepesi sana hili! Anyway ngoja tuone ....
 
Vyombo vya habari Namibia ikiwepo Shirika la Utangazaji Namibia (NBC) vimeripoti taarifa ya Naibu Jaji Mkuu wa Namibia kuombwa na Tanzania kujiunga katika Tume ya Uchunguzi Tanzania

Naibu Jaji Mkuu wa Namibia Petrus Damaseb ameteuliwa kuhudumu katika tume ya Rais ya uchunguzi Tanzania, itakayochunguza ghasia zilizozuka baada ya uchaguzi mkuu wa 2025 nchini Tanzania.

Ofisi ya Mhimili wa Mahakama nchini Namibia ilitangaza siku ya Jumatano kuwa Jaji Mkuu Peter Shivute alimteua Jaji Damaseb kufuatia ombi kutoka kwa Serikali ya Tanzania kwa Namibia.

Ombi la Serikali ya Tanzania kwa Serikali ya Namibia lilikuwa ni kutoa jaji anayehudumu au aliyestaafu wa Mahakama Kuu ya Namibia ili kuhudumu kwenye tume hiyo ya uchunguzi.

Tume hiyo imeundwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuchunguza vyanzo vikuu vya vurugu zilizofuata baada ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa 29 Oktoba 2025,

Ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa matukio hayo ya siku na baada ya uchaguzi zinaonyesha angalau vifo 518 vilirekodiwa, huku takriban watu 2,400 wakijeruhiwa wakati wa machafuko hayo.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo ya NBC Digital News na The Namibian inaeleza kwamba, Wajumbe wa tume hiyo ya uchunguzi wataapishwa tarehe itakayotangazwa na Serikali ya Tanzania.

The mosquito going to investigate malaria?

Nini maoni yako?
Hakutakuwa na maridhiano bila Upande wa CCM kumwaga Damu.

CCM wanachukulia mauaji ya October 29, simple Sasa
 
07 August 2026
Windhoek, Namibia

Opposition slam Damaseb’s Tanzania inquiry nomination​

21 hours ago Mins Read

1.jpeg

Sostenus Wilherm

The nomination of Namibia’s deputy chief justice Petrus Damaseb to serve on a Tanzanian Presidential Commission of Inquiry has sparked fierce criticism from opposition parties, with the Affirmative Repositioning (AR) movement and the Independent Patriots for Change (IPC) accusing the Namibian government of compromising the country’s judicial independence.

AR on Thursday described the nomination as a “political act of complicity” rather than judicial cooperation, arguing that Namibia’s judiciary should not be used to legitimize Tanzania’s handling of the violence that followed its October 2025 general elections.

The Judicial Service Commission (JSC) announced on Wednesday that chief justice Peter Shivute had nominated Damaseb following a request from the Tanzanian government for a serving or retired Namibian judge to serve on the commission investigating the root causes of the post-election violence.

However, AR activist-in-chief Job Amupanda questioned how the request was initiated, arguing that it originated at a political level rather than through judicial channels.

“This confirms that the discussions occurred at the political level, and the Tanzanian judiciary appears to have been bypassed entirely. This is a shocking state of affairs that must be understood in its proper context: a political deal facilitated by judicial rubber-stamping,” Amupanda said.

AR argued that assigning a sitting deputy chief justice to the commission risks undermining the perceived independence of Namibia’s judiciary and lending credibility to what it described as a politically compromised process.

“The appointment of Namibia’s deputy chief justice to Tanzania’s controversial Presidential Commission of Inquiry represents a calculated attempt to use Namibian judicial credibility to launder the reputation of a murderous authoritarian regime,” Amupanda said.

The movement demanded that the Judicial Service Commission publicly explain the legal and ethical basis for approving the nomination and called on Damaseb to decline the appointment.

“We demand that deputy chief justice and judge president Petrus Damaseb formally decline the nomination and recuse himself from this flawed commission to salvage his legacy and the integrity of the Namibian Judiciary,” Amupanda said.

Meanwhile, IPC shadow minister of international relations and trade Rodney Cloete also questioned the appointment, arguing that Namibia had failed to publicly address concerns over Tanzania’s democratic and human rights record following President Netumbo Nandi-Ndaitwah’s state visit to the country in June.

2.jpeg

Cloete said nominating a judge did not amount to meaningful engagement on the political crisis in Tanzania.

“Sending a judge is not the same thing as speaking,” he said.

He further questioned the process surrounding the commission, noting that, according to the Office of the Judiciary, members would first be sworn in before receiving the commission’s terms of reference.

“The mandate is written after the judge has agreed to serve. Namibia’s second most senior judicial officer has been committed to an inquiry whose questions do not yet exist on paper,” Cloete said.

He argued that Namibia risks lending credibility to an inquiry without first establishing whether it has sufficient powers to independently investigate the actions of Tanzanian security forces or adequately protect witnesses.

“We are supplying credibility. We have not established that there is anything to lend it to,” Cloete said.

Despite the criticism, Cloete stressed that neither he nor the IPC questioned Damaseb’s professional integrity.

“Justice Damaseb’s competence and integrity are not in question… He is one of the finest jurists this country has produced, and that is precisely the difficulty. A commission borrows the standing of the judges who sit on it,” he said.

The Office of the Judiciary has maintained that Damaseb was nominated after consultations between chief justice Peter Shivute and the Judicial Service Commission, which supported the nomination because of his extensive judicial and administrative experience.

According to the judiciary, arrangements will be made to ensure that the work of the Supreme Court and High Court continues uninterrupted while Damaseb serves on the commission.

The commission is expected to investigate the root causes of the violence that followed Tanzania’s 29 October 2025 general elections, with members to be sworn in on a date yet to be announced by the Tanzanian government
 
07 August 2026

Damaseb urged to reject Tanzania inquiry role​

The Affirmative Repositioning (AR) movement has called on deputy chief justice and judge president Petrus Damaseb to reject his nomination to serve on Tanzania’s commission of inquiry.

The party argues that Damaseb’s participation would undermine the credibility and independence of Namibia’s judiciary

This follows the announcement on Wednesday by the Office of the Judiciary chief justice, Peter Shivute, who nominated Damaseb to serve on the Tanzanian presidential commission of inquiry to investigate the root causes of violence that followed the general elections held in October 2025.

In a statement issued on Thursday, AR leader Job Amupanda, accuses the Namibian government and the Judicial Service Commission (JSC) of facilitating what it described as a politically driven process following a request by the Tanzanian government for a Namibian judge to join the commission

The movement alleges the nomination followed political discussions rather than a judicial process.

AR claims the commission is intended to legitimise the Tanzanian government’s handling of allegations linked to the country’s 2025 elections, arguing that a serving Namibian judge should not be associated with a process it considers politically compromised.

“Assigning a sitting deputy chief justice to a foreign inquiry risks damaging Namibia’s judicial reputation and could create the perception that the country’s courts are being drawn into political matters beyond its borders,” says Amupanda.

AR has demanded that the JSC publicly explain the legal and ethical basis for Damaseb’s nomination and urged him to formally decline the appointment, saying this would protect both his legacy and the integrity of the judiciary.

The movement also warns it is considering legal action, including review proceedings and an interdict, should the nomination proceed.
 
07 August 2026
Windhoek, Namibia

Opposition slam Damaseb’s Tanzania inquiry nomination​

21 hours ago2974 Mins Read
FacebookTwitterLinkedInPinterestStumbleuponEmail
Share
1.jpeg

Sostenus Wilherm

The nomination of Namibia’s deputy chief justice Petrus Damaseb to serve on a Tanzanian Presidential Commission of Inquiry has sparked fierce criticism from opposition parties, with the Affirmative Repositioning (AR) movement and the Independent Patriots for Change (IPC) accusing the Namibian government of compromising the country’s judicial independence.

AR on Thursday described the nomination as a “political act of complicity” rather than judicial cooperation, arguing that Namibia’s judiciary should not be used to legitimize Tanzania’s handling of the violence that followed its October 2025 general elections.

The Judicial Service Commission (JSC) announced on Wednesday that chief justice Peter Shivute had nominated Damaseb following a request from the Tanzanian government for a serving or retired Namibian judge to serve on the commission investigating the root causes of the post-election violence.

However, AR activist-in-chief Job Amupanda questioned how the request was initiated, arguing that it originated at a political level rather than through judicial channels.

“This confirms that the discussions occurred at the political level, and the Tanzanian judiciary appears to have been bypassed entirely. This is a shocking state of affairs that must be understood in its proper context: a political deal facilitated by judicial rubber-stamping,” Amupanda said.

AR argued that assigning a sitting deputy chief justice to the commission risks undermining the perceived independence of Namibia’s judiciary and lending credibility to what it described as a politically compromised process.

“The appointment of Namibia’s deputy chief justice to Tanzania’s controversial Presidential Commission of Inquiry represents a calculated attempt to use Namibian judicial credibility to launder the reputation of a murderous authoritarian regime,” Amupanda said.

The movement demanded that the Judicial Service Commission publicly explain the legal and ethical basis for approving the nomination and called on Damaseb to decline the appointment.

“We demand that deputy chief justice and judge president Petrus Damaseb formally decline the nomination and recuse himself from this flawed commission to salvage his legacy and the integrity of the Namibian Judiciary,” Amupanda said.

Meanwhile, IPC shadow minister of international relations and trade Rodney Cloete also questioned the appointment, arguing that Namibia had failed to publicly address concerns over Tanzania’s democratic and human rights record following President Netumbo Nandi-Ndaitwah’s state visit to the country in June.

2.jpeg

Cloete said nominating a judge did not amount to meaningful engagement on the political crisis in Tanzania.

“Sending a judge is not the same thing as speaking,” he said.

He further questioned the process surrounding the commission, noting that, according to the Office of the Judiciary, members would first be sworn in before receiving the commission’s terms of reference.

“The mandate is written after the judge has agreed to serve. Namibia’s second most senior judicial officer has been committed to an inquiry whose questions do not yet exist on paper,” Cloete said.

He argued that Namibia risks lending credibility to an inquiry without first establishing whether it has sufficient powers to independently investigate the actions of Tanzanian security forces or adequately protect witnesses.

“We are supplying credibility. We have not established that there is anything to lend it to,” Cloete said.

Despite the criticism, Cloete stressed that neither he nor the IPC questioned Damaseb’s professional integrity.

“Justice Damaseb’s competence and integrity are not in question… He is one of the finest jurists this country has produced, and that is precisely the difficulty. A commission borrows the standing of the judges who sit on it,” he said.

The Office of the Judiciary has maintained that Damaseb was nominated after consultations between chief justice Peter Shivute and the Judicial Service Commission, which supported the nomination because of his extensive judicial and administrative experience.

According to the judiciary, arrangements will be made to ensure that the work of the Supreme Court and High Court continues uninterrupted while Damaseb serves on the commission.

The commission is expected to investigate the root causes of the violence that followed Tanzania’s 29 October 2025 general elections, with members to be sworn in on a date yet to be announced by the Tanzanian government

SWAHILI

Windhoek, Namibia

Upinzani wakosoa vikali uteuzi wa jaji Damaseb katika uchunguzi wa Tanzania​

Saa 14

Sostenus Wilherm

Uteuzi wa naibu jaji mkuu wa Namibia Petrus Damaseb kuhudumu katika Tume ya Uchunguzi ya Rais wa Tanzania umesababisha ukosoaji mkali kutoka kwa vyama vya upinzani, huku vya vyama vya Affirmative Repositioning (AR) na Independent Patriots for Change (IPC) zikiishutumu serikali ya Namibia kwa kuhatarisha uhuru wa mahakama wa nchi hiyo.

AR siku ya Alhamisi ilielezea uteuzi huo kama "kitendo cha kisiasa na ushirikina" badala ya ushirikiano wa kimahakama, ikisema kwamba mahakama ya Namibia haipaswi kutumika kuhalalisha jinsi Tanzania ilivyoshughulikia ghasia zilizofuatia uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025.

Tume ya Huduma za Mahakama (JSC) ilitangaza Jumatano kwamba jaji mkuu Peter Shivute alikuwa amemteua Damaseb kufuatia ombi kutoka kwa serikali ya Tanzania kwa jaji wa Namibia aliyehudumu au mstaafu kuhudumu katika tume inayochunguza sababu kuu za ghasia za baada ya uchaguzi.

Hata hivyo, mwanaharakati mkuu wa AR Job Amupanda alihoji jinsi ombi hilo lilivyoanzishwa, akisema kwamba lilitokana na ngazi ya kisiasa badala ya kupitia njia za mahakama.

"Hii inathibitisha kwamba majadiliano yalifanyika katika ngazi ya kisiasa, na mahakama ya Tanzania inaonekana kupuuzwa kabisa. Hii ni hali ya kushangaza ambayo lazima ieleweke katika muktadha wake sahihi: makubaliano ya kisiasa yanayowezeshwa na mahakama," Amupanda alisema.

AR ilisema kwamba kumteua naibu jaji mkuu kwa tume hiyo kuna hatari ya kudhoofisha uhuru unaoonekana wa mahakama ya Namibia na kutoa uaminifu kwa kile ilichokielezea kama mchakato ulioathiriwa kisiasa.

"Uteuzi wa naibu jaji mkuu wa Namibia katika Tume ya Uchunguzi ya Rais ya Tanzania yenye utata unawakilisha jaribio lililopangwa la kutumia uaminifu wa mahakama ya Namibia ili kusafisha haiba halisi ya sifa ya utawala wa kimabavu wa mauaji wa Samia," Amupanda alisema.

Vyama hiyo vilidai kwamba Tume ya Huduma za Mahakama ieleze hadharani msingi wa kisheria na kimaadili wa kuidhinisha uteuzi huo na ikamtaka Damaseb kukataa uteuzi huo.

"Tunamtaka naibu jaji mkuu na rais wa jaji Petrus Damaseb kukataa rasmi uteuzi huo na kujiondoa kutoka kwa tume hii yenye dosari ili kuokoa hadhi safi ya urithi wake na uadilifu za Mahakama ya Namibia," Amupanda alisema.

Wakati huo huo, waziri kivuli wa mahusiano ya kimataifa na biashara wa IPC Rodney Cloete pia alihoji uteuzi huo, akisema kwamba Namibia imeshindwa kukemea na kulani hadharani wasiwasi kuhusu rekodi ya kidemokrasia na haki za binadamu ya Tanzania kufuatia ziara ya kiserikali ya Rais Netumbo Nandi-Ndaitwah nchini humo mwezi Juni 2026.

Cloete alisema kuteua jaji hakukuwa na maana ya kushiriki kikamilifu katika mgogoro wa kisiasa nchini Tanzania.

"Kumtuma jaji si sawa na kuzungumza," alisema.

Alihoji zaidi kuhusu mchakato unaozunguka tume hiyo, akibainisha kwamba, kulingana na Ofisi ya Mahakama, wanachama wangeapishwa kwanza kabla ya kupokea masharti ya rejea ya tume hiyo.

"Mamlaka yameandikwa baada ya jaji kukubali kuhudumu. Afisa mkuu wa pili wa mahakama nchini Namibia amejitolea kufanya uchunguzi ambao maswali yake bado hayapo kwenye karatasi," Cloete alisema.

Alidai kwamba Namibia inahatarisha uaminifu wa uchunguzi huo bila kwanza kubaini kama ina mamlaka ya kutosha kuchunguza kwa uhuru matendo ya vikosi vya usalama vya Tanzania au kuwalinda mashahidi ipasavyo.

"Tunaondoa uaminifu. Hatujathibitisha kwamba kuna kitu cha kutoa," Cloete alisema.

Licha ya ukosoaji huo, Cloete alisisitiza kwamba yeye wala IPC hawakutilia shaka uadilifu wa kitaaluma wa jaji Damaseb.

"Uwezo na uadilifu wa Jaji Damaseb haujatiliwa shaka ... Yeye ni mmoja wa wanasheria bora zaidi ambao nchi hii imewatoa, na hiyo ndiyo ugumu hasa. Tume hukopa nafasi ya majaji wanaoisimamia," alisema.

Ofisi ya Mahakama imesisitiza kwamba Damaseb aliteuliwa baada ya mashauriano kati ya jaji mkuu Peter Shivute na Tume ya Huduma za Mahakama, ambayo iliunga mkono uteuzi huo kwa sababu ya uzoefu wake mkubwa wa kimahakama na kiutawala.

Kulingana na mahakama, mipango itafanywa ili kuhakikisha kwamba kazi ya Mahakama Kuu na Mahakama Kuu inaendelea bila kukatizwa huku Damaseb akihudumu katika tume hiyo.

Tume inatarajiwa kuchunguza chanzo cha vurugu zilizotokea baada ya uchaguzi mkuu wa Tanzania wa tarehe 29 Oktoba 2025, huku wajumbe wakiapishwa katika tarehe ambayo bado haijatangazwa na serikali ya Tanzania.
1786088644249.png
 
06 August 2026
Windhoek

Member of Parliament Professor Job Amupanda has critised the nomination

Member of Parliament Professor Job Amupanda has criticised the nomination of Deputy Chief Justice and Judge President Petrus Damaseb to serve on Tanzania's Presidential Commission of Inquiry, saying the appointment could affect the reputation of Namibia’s judiciary.

Amupanda, who is the Activist-in-Chief of the Affirmative Repositioning Movement, said Damaseb’s nomination should not be viewed as judicial cooperation but rather as “political complicity”.

According to Amupanda, the nomination amounts to an attempt to use Namibia’s judicial credibility to “launder the reputation” of a government accused of responsibility for violence following Tanzania’s 2025 general elections.

The AR leader said that the participation of a sitting senior Namibian judge on the commission could undermine public confidence in the judiciary and questioned the Judicial Service Commission's decision to nominate Damaseb.

The JSC nominated Damaseb after Tanzanian authorities requested a serving or retired Namibian High Court judge to serve on the commission.

AR called on Damaseb to decline the nomination and urged the JSC to explain the legal and ethical basis for its decision.

The criticism comes after Tanzania’s Commission of Inquiry into violence linked to the country’s October 2025 general elections reported that at least 518 people died, more than 800 suffered gunshot wounds and thousands were injured.
 
TOKA MAKTABA :
Maono ya mwanasiasa machachari mwenye kuona mbali Prof. Amupanda kutoka Namibia aliyekosoa uteuzi wa jaji wa Namibia kushughulikia mauaji ya 29 October 2025 kuwa ni wa kisiasa

Prof. Job Amupanda - Occupy, Control and Dominate | 18 November 2024

View: https://m.youtube.com/watch?v=n3anq5Y_CWg
Bio
Job Shipululo Amupanda’s research focusses on the intersection of colonial and postcolonial projects, looking primarily at how colonialism continues in post-colonial societies. In short, in decolonial scholarship his work is about ‘coloniality’. He holds a PhD in Political Studies (University of Namibia), MA in Political Science (University of Stellenbosch, South Africa), BA Honours in Political Science (University of Stellenbosch), BA Honours in History (University of South Africa) and a BA in Political Studies and History (University of Namibia). He taught political sciences at the University of Namibia from 2013 to December 2024 rising to an academic rank of associate professor. From 2016 to 2021, Professor Amupanda served as a Deputy Dean of the Faculty of Economic and Management Sciences. As a public intellectual, Professor Amupanda distinguishes himself from traditional intellectuals, those who divorce themselves from social struggles and maintain a distance from political functions and/or actions. Instead, he identifies with what Antonio Gramsci calls the ‘organic intellectual,’ who are linked to the masses, challenge and counterbalance the hegemonic forces. He thus participates in political processes and actions as an activist in Namibia. He has close to 30 publications ranging from books, journal articles, and academic papers.

  • Political and Colonial History
  • Decoloniality and postcoloniality
  • Political economy of Natural Resources
  • Developmental State and State directed development
 
Back
Top Bottom