LGE2024 CCM Imeshinda kihalali na kuvuna kile ilichopanda, CHADEMA haikujipanga

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Pumbavu kabisa.
 
Popoma anayojitahidi kuwahadaa watanzania as if hawajui nini kimetokea kuanzia mwanzo wa zoezi la uchafuzi hadi mwisho.
 
Wagombea wanaokubalika, hiyo kuengua wapinzani inatokea wapi? Ukiona chama kinaogopa chaguzi za haki, ujue chama hicho kimepoteza ushawishi kwa umma.
Kupoteza ushawishi ni nini ? make chadema/upinzani, hajawahi kuongoza nchi hatuwezi kusema wamepoteza ushawishi, ccm inahangaika na sera, zilezile kila chaguzi, zikifika ?
 
Kupoteza ushawishi ni nini ? make chadema/upinzani, hajawahi kuongoza nchi hatuwezi kusema wamepoteza ushawishi, ccm inahangaika na sera, zilezile kila chaguzi, zikifika ?
CCM inabadilika kulingana na wakati na mahitaji ya wakati.
 
Ccm haina uwezo wa kumshawishi mwananchi mwenye akili timamu, bila kutumia pesa, na rushwa ya kupata ajira, serikalini wao
CCM Ina ushawishi mkubwa na ndio maana inapita na kushinda kwa kishindo katika kila uchaguzi
 
Hata ukicheck wanachama wengi wa chadema ni wàle wanaoshonda vibarazani na store za pombe
 
Toka 2019-2024 naamini ni CCM hii hii iliyokuwa imeshinda uchaguzi wa serikali za mitaa, kadharika 2020-2025, ni CCM hii hii ambayo imeshika dola, mbona watu kila siku wanapiga mayowe?
Kujifanya kichaa kama huyu Lucas Mwashambwa, ambaye dada yake juzi ametuhumiwa kumuua mtoto wa kambo huko Mbeya, inataka kujiondoa ufahamu na aibu kuliko kawaida. Hana anoloona
 
We nawe uwe unatulia
 
CCM mnatia aibu hamkubaliki wala hamuuziki,mnatumia nguvu kubwa kwenye mambo madogo,next time hakuna haja ya uchaguzi muwe mnateua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…