LGE2024 CCM Imeshinda kihalali na kuvuna kile ilichopanda, CHADEMA haikujipanga

LGE2024 CCM Imeshinda kihalali na kuvuna kile ilichopanda, CHADEMA haikujipanga

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Shida ni vitisho wapinzani wanendesha kampeni kwa uoga
 
Ni kweli kabisa!

Hata vifo vitakapotokea vitakua ni vifo halali kama uchaguzi ulivyohalali!!!

Kwahio ACHA Julia uchunguzi wa vifo hivyo!!
 
ccm imevuna ilicho kipanda ila c kwamba imeshinda kihalal.. pia bodo tz hatuna chama pinzani chenye nia ya dhati kupgania hak kwa raia.
 
Utajifuta wenyewe na kubakia katika kumbukumbu za daftari la msajili wa vyama vya siasa. Hii ni kwa sababu upinzani umepoteza ushawishi na uungwaji mkono . wapinzani hawaaminiki kabisa
Kifo ni kifo tu Leo umeacha kupambania uchunguz wa ndungurile.
 
Sasa wewe ndg Lucas umepata faida gani baada ya CCM kushinda kwa kishindo?
Faida ni kubwa sana maana nina uhakika kuwa wananchi watapata huduma na kuongozwa vizuri sana .kwa kuwa ni CCM pekee yenye uchungu na Maisha ya watanzania
 
Shida ni vitisho wapinzani wanendesha kampeni kwa uoga
Kampeni zilifanyika kwa uhuru kabisa na kila mtu alipata nafasi ya kunadi sera zake.lakini kwa bahati mbaya ni kuwa upinzani hasa CHADEMA haikuwa na sera wala ajenda zenye kugusa Maisha ya watu
 
Ni uhuru wa aina gani huo ambao unautaka wewe?
Wizi wa kura kumia nguvu na kukandamiza upinzani kwa kujivunia nguvu ya dola, na kutumia pesa kushawishi wananchi, maskini ili wawape kura, wasio na elimu, kuwapa vibaiskel, vipipiki na kanga ni ujinga na upumbavu kubwa.
 
Hata ukienda vyuo vikuu utakuta maelfu ya vijana wana kadi za CCM na wanaiunga mkono CCM
 
Faida ni kubwa sana maana nina uhakika kuwa wananchi watapata huduma na kuongozwa vizuri sana .kwa kuwa ni CCM pekee yenye uchungu na Maisha ya watanzania
Toka 2019-2024 naamini ni CCM hii hii iliyokuwa imeshinda uchaguzi wa serikali za mitaa, kadharika 2020-2025, ni CCM hii hii ambayo imeshika dola, mbona watu kila siku wanapiga mayowe?
 
Back
Top Bottom