Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #81
Ni uhuru wa aina gani huo ambao unautaka wewe?Kama kweli ccm ni chama ambacho kinakubalika kwanini hakitaki, kuendesha uchaguzi wa huru na haki, ndo ujue kwamba??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni uhuru wa aina gani huo ambao unautaka wewe?Kama kweli ccm ni chama ambacho kinakubalika kwanini hakitaki, kuendesha uchaguzi wa huru na haki, ndo ujue kwamba??
Sasa wewe ndg Lucas umepata faida gani baada ya CCM kushinda kwa kishindo?Hakuna chama kitakuja kuwa na uwezo wala nguvu ya kuitikisa CCM madarakani au katika sanduku la kura.CCM huwa na utaratibu wa kujisahihisha.
Kifo ni kifo tu Leo umeacha kupambania uchunguz wa ndungurile.Utajifuta wenyewe na kubakia katika kumbukumbu za daftari la msajili wa vyama vya siasa. Hii ni kwa sababu upinzani umepoteza ushawishi na uungwaji mkono . wapinzani hawaaminiki kabisa
Laana itakutafuna mpaka kizazi Cha mwishoNdio silipwi na wala sipo hapa kutafuta malipo.
Kamuulize mamayenu anayewabubujisha machozi anaujua ukweli kama huo ushungi anaovaa Huwa anamaanisha.Nawapeni ukweli.
Halafu una ambiwa ushindi wa kishindo, chaguo la Mungu.Nani anayechapa kura feki na kuzipeleka vituo vya kupigia kura? Au unadhani ni wapinzani?
Faida ni kubwa sana maana nina uhakika kuwa wananchi watapata huduma na kuongozwa vizuri sana .kwa kuwa ni CCM pekee yenye uchungu na Maisha ya watanzaniaSasa wewe ndg Lucas umepata faida gani baada ya CCM kushinda kwa kishindo?
Ndogo za alinacha.Hakuna chama kitakuja kuwa na uwezo wala nguvu ya kuitikisa CCM madarakani au katika sanduku la kura.CCM huwa na utaratibu wa kujisahihisha.
Utatafunwa wewe n ujinga wako.Laana itakutafuna mpaka kizazi Cha mwisho
Elimu siku hizi hata wajinga wanatoa, hahahahaaaaMimi nakupeni taarifa na Elimu.
Naona kuandika tu ni mgogoro kwako.sasa hizo akili za kujadili hoja nzito utazipata wapi.Ndogo za alinacha.
Kampeni zilifanyika kwa uhuru kabisa na kila mtu alipata nafasi ya kunadi sera zake.lakini kwa bahati mbaya ni kuwa upinzani hasa CHADEMA haikuwa na sera wala ajenda zenye kugusa Maisha ya watuShida ni vitisho wapinzani wanendesha kampeni kwa uoga
Karibu sana.Ila wewe kaka.
Wizi wa kura kumia nguvu na kukandamiza upinzani kwa kujivunia nguvu ya dola, na kutumia pesa kushawishi wananchi, maskini ili wawape kura, wasio na elimu, kuwapa vibaiskel, vipipiki na kanga ni ujinga na upumbavu kubwa.Ni uhuru wa aina gani huo ambao unautaka wewe?
Hata ukienda vyuo vikuu utakuta maelfu ya vijana wana kadi za CCM na wanaiunga mkono CCMWizi wa kura kumia nguvu na kukandamiza upinzani kwa kujivunia nguvu ya dola, na kutumia pesa kushawishi wananchi, maskini ili wawape kura, wasio na elimu, kuwapa vibaiskel, vipipiki na kanga ni ujinga na upumbavu kubwa.
Toka 2019-2024 naamini ni CCM hii hii iliyokuwa imeshinda uchaguzi wa serikali za mitaa, kadharika 2020-2025, ni CCM hii hii ambayo imeshika dola, mbona watu kila siku wanapiga mayowe?Faida ni kubwa sana maana nina uhakika kuwa wananchi watapata huduma na kuongozwa vizuri sana .kwa kuwa ni CCM pekee yenye uchungu na Maisha ya watanzania