LGE2024 CCM Imeshinda kihalali na kuvuna kile ilichopanda, CHADEMA haikujipanga

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mimi sitokuja kupiga kura mpaka tupate chama cha upinzani chenye nia ya dhati ya kuwapambania watanzania.

Sio awa wa sasa hoja zao ni kuzusha taarifa mjini tweeter.
Unakumbuka ni wajibu kuchagua.

Ila unakosa cha kuchagua
Mitumba yote imechoka
Sio iliyokuwepo wala iliyokuja
Bidhaa mbaya,
Wauzaji hawajali quality ya bidhaa,
Ila Matangazo yao yanatangaza Bidhaa ni Nzuri
Ukienda kuchagua Nzuri Haionekani.

Potelea Mbali siyo lazima kuchagua Mitumba.
 
Ndugu zangu Watanzania,

CCM imeendelea kuonyesha Umwamba wake katika siasa za Nchi hii na Bara zima la Afrika.imeendelea kuonyesha namna inavyokubalika ,kupendwa ,kuungwa mkono na namna ilivyo na ushawishi mkubwa hapa Nchini.

Lucas Hebel Mwashambwa, Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Attachments

  • 5891204-aeb7d1d0d93f0573adbcbe9287bbfca7.mp4
    29.9 MB
  • 5890513-6210cd34d68240f1725651f41e222ed7.mp4
    19.4 MB
Kuingia kwenye mjadala na huyo jamaa ni kupoteza muda, nashauri muwe mnazisusia threads zake,koz anaongea nonsense kila mara!
 
Usifikirie wote ni wajinga kama wewe. Hapo siyo nyumbani kwako kwa kuwawekea watu masharti.peleka huo ujinga kwa watoto wako.
 
Wananchi hawana habari na CHADEMA maana wanajua ni wababaishaji sana.
Kuwa na raia kama wewe ni hasara kubwa sana. Taifa linajengwa kwa haki hata maandiko matakatifu yanasema hivyo. Unapoona watu wananung'unika kudhulumiwa haki zao kama si kweli basi anayelalamikiwa anapaswa kutoka hadharani na kukanusha kwa ushahidi. Tume ya uchaguzi inaendeshwa na mwenyekiti wa ccm kwa kupitia jina la rais. Waziri anayehusika na uchaguzi huo ni mwana ccm. Wakurugenzi wa wilaya na halmashauri ni ccm bila kuwasahau polisi ambao nao wamepewa jina la policcm sababu ya kuonekana kushirikiana na ccm kuwahujumu CDM. Katika mazingira kama hayo hata ccm ikishinda inaepukaje lawama? Kwanini ccm haitaki tume huru inayoshirikisha vyama vya upinzani na isiyoratibiwa na ofisi ya rais kama kweli chama hicho kinakubalika? Hujui madhara ya kupora haki za watu ni kuhatarisha vurugu ya kitaifa? Au bado mnaendelea kudhani wananchi ni wapumbavu kama mlivyo ninyi machawa wenye njaa mnaojiona mnaifahamu ccm kuliko akina jaji Warioba na mzee Kikwete?
 
Attachments

  • 2576007-d05126d2cf760a954dec3168c92d63a7.mp4
    8 MB

Kazi ya tume ya uchaguzi ni kutangaza matokeo ambayo yanatokana na kura za wananchi. CCM imekuwa ikipigiwa kura nyingi za ndio na wananchi kwa sababu ya sera na ajenda zake zinazogusa maisha ya watu.sasa vyama kama CHADEMA vimekaa kibabaishaji tu ambapo havina uwezo wa kuandaa hata ilani tu ya uchaguzi zaidi ya mihemuko tu wawapo majukwaani. Kwa hiyo ni lazima ifahamike kuwa CCM itaendelea kuongoza Taifa hili na kusalia madarakani kwa kadri ya uhai wa Taifa letu
 
Nani anayechapa kura feki na kuzipeleka vituo vya kupigia kura? Au unadhani ni wapinzani?
 
Back
Top Bottom